Search results

  1. PSYCHOLINGUIST

    Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

    Kiongozi, hivi kumbe Kiingereza huandikwa matamshi yake kinyemela hivyo? Hufahamu kuhusu IPA, Phonetic script, etc?
  2. PSYCHOLINGUIST

    Nitakufanyia Kazi Bure ili Kujitengenezea "Portfolio".

    Ni mpya, ninategemea kazi yako na nyinginezo ziwe samples mbeleni.
  3. PSYCHOLINGUIST

    Nitakufanyia Kazi Bure ili Kujitengenezea "Portfolio".

    Habarini nyote, mimi ni Msanifu (Graphic Designer) mwenye kiu ya kujitangaza kwa kazi zangu. Kwa kuwa sina kazi nilizofanya kwa sasa, nipo tayari kikutengenezea logos, business cards, calendars, fliers, letterheads, wheelcovers, brochures, nk. pasipo gharama (isipokuwa ya picha tu, kama...
  4. PSYCHOLINGUIST

    Natafuta kazi ya ukalimani na tafsiri

    Boss, ni "masuala" na si maswala kama ulivyoandika. Lakini pia, hujazingatia matumizi sahihi ya herufi kubwa; jichunguze hapa, utaliona tatizo kwa upande wako. Sasa sijapata picha hiyo "final product" yako itakuwaje!
  5. PSYCHOLINGUIST

    Jifunze graphic design, bei ni karibu na bure

    Je, ungependa kufahamu 'Graphic Design' kwa ufasaha ndani ya muda mfupi? Kama ndiyo, ni-PM tuzungumze. Nitakufundisha Adobe Photoshop, Illustrator, In Design na Lightroom. Nitakufundisha pia 'Video Editing' kwa kutumia Adobe Premiere na After Effects kwa vitendo. Utaweza kujiajiri katika...
  6. PSYCHOLINGUIST

    Nina PC na Kamera; nipeni wazo/dili la kufanya

    Sasa ili kufanikiwa si inabidi kupost umbea na shits tupu?
  7. PSYCHOLINGUIST

    Nina PC na Kamera; nipeni wazo/dili la kufanya

    Ninaomba msaada zaidi kuhusu hilo jambo la pili hapo. Limenivutia zaidi.
  8. PSYCHOLINGUIST

    Nina PC na Kamera; nipeni wazo/dili la kufanya

    Duh! Wapi sasa mkuu? Halafu no cam ya kawaida sana, Nikon Coolpix L330. Special for photography
  9. PSYCHOLINGUIST

    Nina PC na Kamera; nipeni wazo/dili la kufanya

    Habarini wadau. Ninaomba msaada wa mawazo kama nilivyojieleza hapo juu. Natanguliza shukrani.
  10. PSYCHOLINGUIST

    Private photographer if you need?

    Kuwa serious basi. Ni email address gani hiyo uliyoiandika?
  11. PSYCHOLINGUIST

    Free graphic designer is available

    Ninaishi Mabibo Mzambarauni KAKA
Back
Top Bottom