Search results

  1. C

    Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    kwa sababu mnatumia dola au ?
  2. C

    Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    Nyie si wafufua misukule (cha ajabu wenyewe mnakufa), na matabibu wa vilema( lakini bado mnandugu walemavu) na wapika dawa za visukari na ngoma kwa vikombe vya jerojero (lakini mkiumwa ndo wa kwanza kukimbilia apolo)..sawa basi wajanja nyinyi.
  3. C

    Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    Kwani maandamano ya waislamu yanaelekeaga makanisani ?
  4. C

    Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    Hata mimi nashangaa au sijui wao hawaonewi! ..mmh let me think ? labda pengine fedha za MOU zimewashona midomo..au labda serikali inawaogopa..kimsingi sioni dai lolote la wakristo lililokataliwa na serikali hiyo record sina kwa kweli.
  5. C

    Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    Wanaotakiwa kuandamana nchi hii niCHADEMA na wanaharakati , wakiandamana waislam wanahatarisha amani.
  6. C

    Hofu ya mabomu kariakoo!

    Sasa Kama huna pa kwenda ndo utulete umbea mchana kweupe hivi. Ndo nyinyi mkiambiwa kesho mwisho wa dunia mnajitia kiberiti.
  7. C

    Maandamano ya waislamu yazuiwa

    MODs fungeni huu umbea au mmelala ?
  8. C

    Maandamano ya waislamu yazuiwa

    MODs sioni sababu kwa nini mleta thread bado hajapigwa ban kwa kuleta habari za uongo na uchoche au siku hizi hili jukwaa limekuwa kichaka cha wavuta bangi.
  9. C

    Maandamano ya waislamu yazuiwa

    humu kuna watu punguani kweli, kwani maandamano ni kuvunja amani , kwani nani atakufa waislam wakiandamana. Acheni uchochezi jamani.
  10. C

    Maandamano ya waislamu yazuiwa

    yaani kuna watu wanapenda mauaji yatokee wakiwa wamesahau ule msemo usemao, " ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga" msije baadae mkasema waislam magaidi.
  11. C

    Famous quotes by Famous Tanzanians

    fungeni milango tupigane -: godbless Lema
  12. C

    msaada wa kujaza wino

    Tafadhali ,nitajie wapi naweza kupata wino ?, maana nimechoshwa na kununua vicatridge kila mara.
  13. C

    Maandamano ya waislamu yazuiwa

    Ukiona hivyo, shtuka!
  14. C

    Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

    pamoja na kwamba hii ni post yangu ya kwanza humu jamvini , lakini nasikitika kuona huu uzi unavyo changiwa na baadhi ya wanaojiita sijui wafuasi wa vyama vya siasa kuwa biased kwenye dini zao, nadhani ingekuwa busara wale wanasheria waje hapa watuwekee bayana kuhusiana na hili sakata na sio...
Back
Top Bottom