Search results

  1. H

    I salute and love men

    Mwanamume kama kichwa cha nyumba anawajibika kuhudumia familia yake vyema na anachohitaji ni kutiwa moyo na mkewe (kama ameoa), ili aendelee kufanya hivyo kwa uaminifu.
  2. H

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Mgao ni deal ya waku kuuza majenereta yao, Vyanzo vingi ya kuzalisha umeme vipo lakini havishughulikiwi. wazo la kununua umeme kutoka nchi jirani - Zambia,n.k.- limeishia wapi?
  3. H

    Ni lazima nafasi nyeti zichukuliwe na "wastaafu"?

    Tuwaombee makatibu wapya hawa ili tuone ufanisi wao
  4. H

    Fikra za Mwalimu: Hizi hapa.. mzikubali au mzipinge!

    imebaki historia tu, kila mtu anawajibu wa kufanya ili tutoke hapa tulipo. ukitegemea viongozi wafanye utabaki ukilaumu, maana hawatendi wanayoahidi. Akili kichwani, Play your party every thing is possible under the sun.
  5. H

    connection ya uuzaji viungo vya watu, na siku za mwisho wa dunia

    asante kwa tahadhari uliyotoa kwa wasomaji. Ni nani wa kupona tusipojali
Back
Top Bottom