Search results

  1. gugumaji

    Simba ni mnyama mla ubuyu tu

    Ukiangalia Yanga unagundua hizi timu zinafanana kila kitu inapokuja mpira wa ndani. Ila ukisema ni mashindano ya CAF yule Mzee Kapombe anakuwa Under 20 vile anaupiga kama ndio kapandishwa leo toka timu ya Vijana anagombea namba na Kina Mwenda!
  2. gugumaji

    Haji Manara Zaidi ya,Digiriii

    Kweli ila ina ukakasi kuwachanya kabisa
  3. gugumaji

    Haji Manara Zaidi ya,Digiriii

    Nimecheka kino[emoji2957][emoji16][emoji1787]
  4. gugumaji

    Wazazi ondoeni mtazamo wa kuwa ni lazima vijana wenu wawasaidie

    Upiga mzigo 30k mama ameomba elfu 10 tu uwa inaniuma sana nikiwaza matukio yangu
  5. gugumaji

    Haji Manara Zaidi ya,Digiriii

    Huyu ni msemaji wa Klabu kongwe Tanzania,iliyozaliwa kutoka Kwa Watani zao wa Jadi..kiukweli mimi sijui elimu yake nasema ninachokiona na kuishi Nina mambo mawili au Matatu kumhusu Manara *Wasomi wanaona wivu kwa kipaji chake *Afisa Masoko aliyeshinda wasomi wengi Kuinadi simba hapa wenye...
  6. gugumaji

    Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Mimi natoa pole kwa familia waliokutwa na Misiba hii tunajua Haijawahi kuzoeleka.Kifo ni kigumu Hakina Maandalizi Apangalo Mola ni Lake. Ila kuna cha kujifunza Kizazi cha Leo Hatuna UADILIFU tunatamani visivyo vyetu Ajali imetokea watu wanaiba Mafuta Badala ya Kuokoa waathirika, Familia kama...
  7. gugumaji

    List Watangazaji wanaopenda Rushwa

    Taja bila kuonea mtu ili tukomeshe hii tabia Tafadhali usimtaje asiye na hatiaikibidi thibitisha tuataka Tanzania safi Nimelenga watangazaji wa,vipindi vya miziki bongo land
  8. gugumaji

    Ili uwe Utajiri lazima uwe na Fitina na Roho Mbaya ndio utende wema?

    Ni kweli Matajiri kama Majizo wa Efm,Kusaga Clouds fm,Mo dewji,Bakhresa na wengineo ambao sijawataja walianza na njia za ubaya kwa kudhulumu haki na hatimaye kufanikiwa?
  9. gugumaji

    Mdogo wangu Jokate, achana na mitandao ya kijamii

    Si ndio njia rahisi ya mawasiliano siku hizi kwa baadhi ya watu wasio na nafasi ya kuangalia Tv na kusikiliza Redio
  10. gugumaji

    East Africa: EA Single Tourist Visa Announced At World Travel Market in London

    Waache ila tushushe bei ya visa iwee chini ya $50 lakini kwa mtali kutoka njee pia mgeni kutoka huko kwao KUR. visa bei yake iwe mara mbili Tuone nani ana vivutio vingi
  11. gugumaji

    Diamond ameharibu mpaka muziki wa dini

    babu umeenda mbali sana....
  12. gugumaji

    Diamond ameharibu mpaka muziki wa dini

    we jama umemsikiliza huyo msanii anavyoimba na pozi zake hayo ni madhara ya diamondizim​
  13. gugumaji

    Diamond ameharibu mpaka muziki wa dini

    nimekuwa mdau na mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya tangu kupevuka lakini katika msanii ambaye kawapiga bao wengi kwa ubunifu huyu sio mwingine ni diamond kiasi kwamba anawafanya chipukizi wote bongo fleva mpaka dini kumuiga hebua angalia video za huyo msanii hapo chini ndio utajua...
  14. gugumaji

    Diamond ageukia muziki wa dini

    ANGALIA JINSI DIAMOND ALIVYOWADHURU WENGI
  15. gugumaji

    Sina chuki na tigo nimeamua kuhamia nyumba ya jirani

    ​Hebu jiulizeni hivi pale uchumi supermaket yule mwajiri wa wale wafanyakazi kuanzia supervisor mpaka chini nani anawalipa mshahara ni Tigo wanatoa pesa mfukoni wateja wanatumia mtandao wa laini zao za tigo, si mara moja kuna dharau ya hali ya juu..tawi lile supervisor nimemshuhudia...
  16. gugumaji

    Viwanja vinauzwa bunju vimepimwa

    Makosa ya kichapaji Katika heading ni kweli Ila Viwanja viko goba sio bunju jamani na bei vinaanzia million 40 tena viko barabarani njia ya kwenda wazo
  17. gugumaji

    Viwanja vinauzwa bunju vimepimwa

    Bei ya kiwanja inaanzia milioni 40 Ila kuna maelewano
  18. gugumaji

    Viwanja vinauzwa bunju vimepimwa

    Ni goba kumradhi ndugu wanajamvi
Back
Top Bottom