Huu ni upuuzi na utumwa wa kifikra wa kiwango cha SGR! nani WAMESHAJIZOELEA SHIDA? Kwa hiyo tuendelee kubaki huko kwenye shida? Changamoto zinawekwa wazi ili mamlaka husika ziweze kuzifanyia kazi na si vinginevyo. Tufunguke kifikra
ushabiki bila hoja si uungwana. Mwandishi kaanza na kupongeza juhudi zinazofanyika na kisha kuainisha changamoto zinazoendelea kujitokeza ili zirekebishwe na tupate huduma bora zaidi. Sijui Watanzania tunakwama wapi, chaaaa
Mkuu sina uhakika kama umetafakari vizuri. Ndani ya post moja unazungumzia mtu kudandia hoja na pia kumsafisha kwa kusema aliandikiwa barua. Sasa kudandia kunatoka wapi kama watu walimtaarifu? Mlitaka akae kimya?
Wanamchosha tu Ngosha wa watu. Watu hawawajibiki, na rais anapoona jambo baya na limekaliwa kimya, hata kama ni dogo kiasi gani, ni lazima atalizungumzia tu. Hawezi akanyamaza. Viongozi nao wawajibike kwenye nafasi zao
Exactly. I second you. Lingekuwa ni tukio la x1 tu sawa, ila linajirudia rudia. Hii inamaanisha wahusika wako kwenye jamii hiyo husika na wanafahamika. Kama issue ni uchawi kama ilivyotajwa hapo juu, ina maana hao Watelezaji ndio wachawi kuliko wakazi wengine wote kiasi cha kwamba wanashindwa...
Me nadhani Watanzania tukiacha kunyoosheana vidole, tutafanya la maana. Mmeshaambiwa liliripotiwa kwa mamlaka na likafanyiwa kazi. Sasa limeibuka upya kwa kasi, na ndio maana mbunge wa eneo husika ameamua kulipeleka mjengoni. Sijui Watanzania tupewe nini ili turidhike. Tujifunze kitu kinaitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.