Search results

  1. K

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar ina dini?

    Huo ni ujinga uliopitiliza kila mtu aheahimu Imani ya mwenzake kama Dini yako inakukataza kula yangu inaniruhusu kunywa mda wowote.
  2. K

    Freeman Mbowe adhalilika, Wananchi wamkimbia uwanjani

    Unajuliza maswali unajijibu kwani hujui kazi ya mbunge?soma katiba hata kidogo ili ujue kazi za mbunge.Anatatueje migogoro ya ardhi yeye ni Wizara ya Ardhi
  3. K

    Ni wazi Watanzania wote wameanza kuwaelewa Chadema, TEC na wengineo

    Nasikia eti kuna tetesi kwamba wafanyikazi wa Bandari wanatakwa kama wana sifa waombe kazi bandarini kwa sifa na elimu ya kazi wa nayoiomba
  4. K

    Mbunge wa Viti Maalumu aolewa na Maulid Kitenge

    Jaji anasema Alifukuzwa chadema kihalali. Ukishafukuzwa unakosa sifa za kuwa mbunge. Hatuna kwenye sheria zetu mgombea binafsi
  5. K

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Katiba Ina mapungufu ila kwa hili la Uraisi iko wazi kabisa kuwa endapo itatokea Raisi kushindwa kumiliki ofisi kwa ugonjwa kifo au Sababu yeyote Makamu ndiye anachukua
  6. K

    Uwanja wa Dkt. Samia Arusha haukidhi viwango vya FIFA

    Mtoa post sijakuelewa vizuri japo nahisi una hoja. Vigezo umesema ni angalau viti 40000 na Mkapa kuna viti zaidi ya 50000 na bado Tanzania hatuwezi kuandaa ufunguzi? Arusha ndo uongezwe ili uwe na hivyo Vigezo Mkapa tayari unavyo
  7. K

    Wabunge 55 walioidai Tanganyika mwaka 1993 walikuwa Watanzania au walitoka sayari ya Mars?

    Tanganyika kamwe haiwezi kufa hata kama kutakuwa na kitu kisichokuwepo kinachoitwa uhuru wa Tanzania Bara bado Tanganyika lilikuwa koloni la mjerumani na chini ya uangalizi wa Umoja wa mataifa kupitia Malikia.
  8. K

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Waislamu hawaagi mwili. Huyo ni kiongozi wa kiseclar alikuwa kiapo cha utii wa katiba na sheria so yeye ni mali ya Uma. Ukifanya kazi za Uma dini au dhehebu havina nafasI Mungu ailaze mahali pema peponi RIP
  9. K

    Kenya wana katiba bora sana, angalia hii ya Bajeti ya Ikulu ya Kenya

    Katiba bora ndo kila kitu. Kenya wako vizuri hata elimu Yao Vyuo vikuu 10 bora Africa mashariki Kenya wameingiza 8
  10. K

    Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

    Mbona mimi sioni kosa hapo kakumbusha tuu. Kama na wewe unakumbuka chochote share.
  11. K

    Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

    Kama ni kweli zimeungana Tanganyika na Zanzibar na ni kweli Tanganyika imekufa Zanzibar inakuwaje hai? Nyerere ni Genius lengo lilikuwa kuelekea nchi moja muda haukutosha sasa ndo mana zimeungana Tanga nyika na Zanzibar na Bado tuna Tanzania na zanzibar
  12. K

    Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

    Hivi waziri wa mchezo au Raisi wa TFF anaweza kutoa au kuwelekeza yakucheza mchezaji uwanjani jinsi ya kucheza. Mamlaka iliyomwanzisha kwenye first 11 yaani kocha ndo itakayomfanyia sub. Bashe yuko sawa
  13. K

    Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?

    Elimu maana yake ni nini? Serikali ilisema haina haja(nia) yakuendelea na kesi. wote tulifuatilia ushahidi wa ugaidi ambao ni kukata miti,kuweka magogo,kutuma pesa kwenye simu na mashahidi ambao hata shule waliyosoma hawamjui mwalimu mkuu au hata calassmate mmoja. unaposema Mbowe kasamehewa...
  14. K

    TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

    Waziri mkuu wa kwanza ni nani? tupate elimu mkuu
  15. K

    Mamlaka za Uteuzi wa Viongozi zinadhihirisha wazi kuna tatizo kwenye utaratibu wa "Vetting"

    Mi naona mitandao ina tija kuliko hao mnaowaita usalama. Ona kwenye uuzwaji wa Bandari iliwaona hao mnaowaamini kuwa ni usalama,mbona mambo yameisha na qamasai nayo yataisha sikubhizi ukiwa chawa unaitwa usalama.
  16. K

    Mamlaka za Uteuzi wa Viongozi zinadhihirisha wazi kuna tatizo kwenye utaratibu wa "Vetting"

    Nani kakuambia usalama ndo wanafanya vetting. Usalama ndo wanaongoza kuingia Kwa vetting za undigunaization nitajie usalama 1 unaemjua ambaye ni ginius au chuo unachokijua kina walimu wakufundisha huo usalama. Sisi Bado sana ndo mana mtu akivaa suti tunamwita usalama au akipiga picha na...
  17. K

    Sugu akutana na Mzee Joseph Butiku, atoa ofa kwa Taasisi ya Mwl Nyerere

    Ukiwa na Bilioni mbili kwwnda juu wewe ni bilionea. Ukiwa na elfu mbili kwwnda juu wewe pia wewe uko kwenye watu wenye elifuonea then laki kianzia mbili ni lakionea etc ila mo ni Dollar Bilionea
Back
Top Bottom