Search results

  1. L

    Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

    Hujui nilichomaanisha kulingana na ufinyu wa akili zako, toka nilipoanza hii biashara sijawahi acha , #utajiri ni imani
  2. L

    Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

    Bado sijaona tajiri halisi mbongo kwenye hii biashara, watatoka mabilionea wachache Sana sababu the business is real na haiaminiki[emoji3] , mabilionea tutabaki kuwa wachache mno sababu utajiri ni imani , Umeshindwa kuiamini forex, amini utajiri wa makete njombe basi[emoji38][emoji38][emoji38]...
  3. L

    Tuliounguza account za Forex trading

    Mkuu hongera kama umeweza kutoka kwenye real standard account na kurudi kwenye cent account, Psychologically ni ngumu sana kutoka kwenye real account kwenda cent au demo account hata kama umeunguza account 10! Maana kila ukikaa unaona kama pesa inakupita
  4. L

    Msukuma akwama polisi, mamia wamiminika mahakamani kumsubiri

    Rimoti inatoka bashite kingdom to geita, msukuma kaingia kwenye 18 za wakulu
  5. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Benfica na sunderland kachana mikeka ya watu, pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

    Mbeba maono Lissu aliona hili mapema na akaomba support japo mgome siku mbili! Leo sura za wasaliti wataficha wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

    Jana kama hukuungana na jirani yako basi leo pambana na hali yako! Jana IMMA walipovamia kama hukukemea na kuona lissu ni kimbelembele basi leo limetokea kwako au ndugu yako wakili wa Manji! Hapa ndipo utakapolia na kusaga meno na kumkumbuka mbeba maono Lissu. #watu wasiojulikana Sent using...
  8. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asee Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Aisee maisha ni kuchakarika Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Hongera kwa hatua nzuri mkuu, financial freedom is coming Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hongera kwa changamoto mkuu Ontario Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Trolling, flaming adimn fanyia kazi Post sent using JamiiForums mobile app
  13. L

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu dunia inazunguka Wakati Europe wanafunga soko Lao la pesa unakuta Australia wanafungua na Australia wakiwa wanafunga basi America wanafungua pia Kuna weekends masoko mengi hufungwa so kwenye mwingiliano wa hizo zones ndo zinaangukia j4,j5,alhamis ndo soko la pesa linafurahisha
  14. L

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hongera mkuu Ontario, ukiingia hapa kidogo tu kuna knowledge unaacha ndo maana ukipost kitu tu uzi unachangamka
  15. L

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hongera bosses, tuko pamoja sana! Salute kwa Ontario the boss akisaidiwa na Bavaria the facilitator
  16. L

    Kuwajibika na kuwajibishwa kwa viongozi wa umma na kiserikali

    Heshima kwenu wakuu! Uwajibikaji wa viongozi wa umma na kiserikali si jambo jipya bali ni kitendo cha kuonesha kwa vitendo kuachia ngazi kwa kuto kutekeleza wajibu na majukumu waliyopewa na umma au na viongozi walio juu yao au kwa kutokutimiza matarajio ya majukumu yao. Rais mstaafu mh Ali...
  17. L

    Jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kirahisi ndotoni

    I appreciate you brother, mpaka leo kuna marafiki wa kweli niko nao na wewe ndo ulinikutanisha nao Logic
  18. L

    Jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kirahisi ndotoni

    Jf inazingua siku hizi, wapuuzi ni wengi sana! Mtu yuko tayari apinge post ya mtu Bila hoja ili mradi tu ameandika
Back
Top Bottom