Search results

  1. P

    Kitu ambacho CCM haitaki ujue, lakini leo nitakujulisha!

    Mwanakijiji nakuheshimu kwa threads unazotoa lakini hapa hakuna siri hata watoto waliohojiana na Mkuu wa wilaya uso kwa uso wanayajua yote haya na zaidi ya hayo. Mimi ninachoomba wakina Slaa, Zitto na wengine wazidi kusonga mbele na vijana na wakina mama wengi wafumbue macho na kuona, wazibuke...
  2. P

    Askari Jela wafanya vitendo vya kinyama...Tazama.

    Je hawa mafisadi TZ walioagiziwa furniture toka China na Dubai. Mungu yupo aliyemshughulikia Dito akiwa nje atawashughulikia pia hao walioacha furniture za nje na kuweka mabilion ya dhamana kuwa nje nae alikuwa nje akashughulikiwa na Mungu ndie yule yule asiyebadilika.
  3. P

    Majambazi wawashangaa Police kwa kuwaacha wakiendelee kutesa tu

    Tanzania haina utawala wa sheria, inaumiza na ni mbaya lakini tulipofikishwa Watanzania bora na hili Jeshi la mafisadi nalo lingejaribu kuchukua nchi sote tukacharazwa viboko, wakianzwa watawala au viongozi wa mafisadi hata kwa miaka mitano tu ndio tutashika adabu nchi hii. Inauma lakini ni...
Back
Top Bottom