Search results

  1. Nyumbu

    Tamko la Kamati Kuu ya Chadema: Jan 31 Jan, 2011

    TAMKO LA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) KUHUSU HALI YA TAIFA. Kamati Kuu ya CHADEMA katika kikao chake cha kawaida kilichofanyika tarehe 29-30 Januari 2011 jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa Taifa Mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe (Mb), pamoja na...
  2. Nyumbu

    Yaliyotokana na Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema

    Tundu Lissu ni mkurugenzi wa Sheria hivyo anaingia kwenye kamati kuu kwa kofia yake lakini kama wakurugenzi wengine ni mjumbe asiyepiga kura. .
  3. Nyumbu

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Wacheni kuongea habari za kufikirika. Mgombea wa NCCR alipata kura 25% na mgomea wa CHADEMA alipata 23%. Mgombea wa NCCR Gulamhussein Kifu amerudi CCM. Mgombea wa CHADEMA Muslim Hassanali ndio ameipatia CHADEMA ushindi mnono kwenye uchaguzi wa serikali za vijiji. Hamna jamaa yeyote wa NCCR...
  4. Nyumbu

    RIP: Kanali (Mstaafu) Geofrey Marealle

    Rest in peace Colonel. We will remember you always.
  5. Nyumbu

    CHADEMA mwendo mdundo

    CHADEMA kiko salama, wanaCHADEMA tusonge mbele TAARIFA KWA UMMA Hakuna kiongozi aliyefukuzwa uanachama Zitto Kabwe hakusudii kuhama CHADEMA Mbowe, Dr Slaa wasichafuliwe wala kuchonganishwa na wanachama Kuchafuliwa CHADEMA na viongozi wake ni proganda kuelekea 2010 UTANGULIZI...
  6. Nyumbu

    David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA

    Rudi kwenye mada kubwajinga. Tunaongelea kuteuliwa na/au kutenguliwa sio kuchagua na/au kuchaguliwa. .
  7. Nyumbu

    CHADEMA na Vitega Uchumi Vyake - Ni vipi?

    Amenyimwa. Ameambiwa TANESCO wana mpango wa kuweka umeme hivyo hawahitaji umeme wake. Nguzo chache zikawekwa chapchap halafu hamna kinachoendelea. Afunge kesi gani? ya TANESCO kuchukua muda mrefu kutimiza ahadi yake? Na mimi sizugumzii mtu nazungumzia chama. Ndesa hakukwamishwa kama Ndesa...
  8. Nyumbu

    CHADEMA imefanya nini kustahili dhamana ya Uongozi wa Taifa?

    Waberoya, mimi nafikiri Watanzania na sio vyama vya upinzani ndivyo vinatakiwa kuwa smarter than they are right now. Habari za ugomvi na mafarakano unayoyazungumzia yanayotokea kwenye vyama vya upinzani kwa kiasi kikubwa yanachochewa na vyombo vya habari. Na vyombo hivi tunajua wanaovimiliki ni...
  9. Nyumbu

    CHADEMA na Vitega Uchumi Vyake - Ni vipi?

    Mgombea ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Busanda kupitia CHADEMA, Bwana Finias Magessa amenyimwa kujenga hosteli ya wanafunzi kwenye shule ya sekondari ya wasichana jimboni Busanda. Amebaki ameduwaa na mabati yake. Vilevile kama engineer wa nishati alikuwa ana mpango wa kuwapatia watu wa jimbo...
  10. Nyumbu

    CHADEMA imefanya nini kustahili dhamana ya Uongozi wa Taifa?

    Katiba mpya itapatikana bungeni najua unalifahamu hilo. Wabunge wa CCM ni wachache sana, kama wapo, ambao wanaunga mkono katiba mpya. Hivyo lazima zifanyike juhudi nje ya bunge kwa kipindi hichi kuelekea uchaguzi mkuu. Juhudi za Hakielimu, TAMWA, vyama vya wafanyakazi na hata miongozo ya...
  11. Nyumbu

    CHADEMA imefanya nini kustahili dhamana ya Uongozi wa Taifa?

    Kwa taarifa yako Vodacom wanatengeneza Bilioni Moja kwa siku. Narudia bilioni moja kwa siku. CHADEMA wanapata ruzuku ya milioni 60 kwa mwezi. Na hao wakurugenzi wa CHADEMA mnawawaona wanananeemeka na hiyo ruzuku wanapata laki mbili kwa mwezi. Kulinganisha Vodacom na CHADEMA is not fair. Hili...
  12. Nyumbu

    CHADEMA imefanya nini kustahili dhamana ya Uongozi wa Taifa?

    Kwanini na wewe usipiganie hayo? Unakwenda kuchagua viongozi wako wakati unajua fika kuna tatizo la katiba na tume ya uchaguzi. Utapataje viongozi waliyo bora? Hata kama wewe huna mpango wa kuchagua kiongozi kutoka kambi ya upinzani bado viongozi waliopo kwenye ballot box wa CCM wamefika hapo...
  13. Nyumbu

    CHADEMA na Vitega Uchumi Vyake - Ni vipi?

    Sidhani kama mnaelewa the extent chama tawala kinakwenda kuhakikisha kwamba vyama vya upinzani vinashindwa kuanzisha chochote kile ambacho kinaonekana kutingisha hemaya yao. Na mkakati wao mkubwa uko katika kuhakikisha serikali haitupatii vibali. Nitakupa mfano rahisi kuhusu vibali ambao...
  14. Nyumbu

    Selelii awazima Lowassa na Rostam

    Sera ya CCM kwa muda mrefu sasa imekuwa ni kulindana. Kama sio kulindana tusingekuwa na ubabaisha kwenye hili suala la Richmond mpaka leo. Rostam, Lowassa na Kikwete walikuwa kitu kimoja kwenye uchaguzi wa 2005. Urafiki wao haukuanzia barabarani kama Lowassa alivyosema. Wana siri zao...
  15. Nyumbu

    Selelii awazima Lowassa na Rostam

    Ndugu AS naomba nikuulize swali rahisi. Ulijiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa? Na ulimpigia kura nani? Wengi wetu tunaolalamika kwamba vyama vya upinzani vimelala huwa hata hatushiriki kwenye chaguzi. Tunakubali kuchaguliwa viongozi wetu halafu tuko wepesi sana kutupa...
  16. Nyumbu

    Mengi na Uanachama wake CCM

    Shirima na Mramba ni marafiki wakubwa na business partners. Kambi ya Mramba ndio imeshinda uongozi wa chama jimboni na kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa watu wa CCM walioshinda ni wa kwake. Hizi rumours zinaweza kuwa kweli kwani kesi za ufisadi zikimbana Mramba itakuwa rahisi kwa Shirima...
  17. Nyumbu

    Mengi na Uanachama wake CCM

    Mengi kila wakati huwa anawazidi akili CCM. Amefanikiwa kumweka JK mfukoni kwa kumkejeli kuwa anapiga vita ufisadi. Wakati huohuo anawanyima wakina Makamba usingizi kwa kauli zake tata na hamna wanachoweza kumfanya. Cha kujiuliza ni anajipanga kwa lipi 2010 kwenye hii move? Maana licha ya...
  18. Nyumbu

    Wabunge wa CCM Waomba Ushauri Kuhamia CHADEMA!

    Wabunge wa CCM wanalumbana kwa sababu ya maslahi na si kingine. Ukiangalia kwa makini utagundua kinachotafutwa ni tiketi ya kurudi bungeni na kuji-align na mgombea rais, ili mwisho wa siku kundi hilo ndilo lije litoe mawaziri na kushika nafasi zingine nyeti serikalini. Kuhamia upinzani au...
  19. Nyumbu

    Wenyeviti 11 wa Mikoa CHADEMA wampinga Dr Slaa

    Kafulila alipoteuliwa hakuandikiwa barua yoyote kuhusiana na uteuzi huo, rasmi au isiyo rasmi. Iweje leo adai barua? Kafulila alikataa kwenda Kigoma Kusini kufanya kampeni wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa akidai fedha aliyowezeshwa na chama kwenda kufanyia kampeni ilikuwa finyu...
  20. Nyumbu

    Yuko wapi Wilfred Lwakatare?

    Kwa vigezo vipi? .
Back
Top Bottom