Search results

  1. Pyepye

    BVR imethibitisha kuna watu ni mapepo

    Mimi nilikuwa BVR operator somewhere. Niligundua kuwa 98% ya watu waliokuwa fingeprint zao hazisomi ni wale ambao walikuwa wanaugua ganzi ktk mikono yao. 2% iliyobaki walikuwa wazee sana!!
  2. Pyepye

    Huyu ni nani hasa hapa Tanzania/Ulimwenguni hadi akafananishwa na Mungu!?

    Mtimbo Athumani ni mtu. Mungu ni muumba mwenye uwezowa kila kitu, hana choyo,wivu wala visasi lakini binada ana choyo,wivu,hiana. Kwa hiyo waswahili pwani waliibuka na msemohuo sawa na kusema mungu si binadam! Mungu humpa/hunyima amtakaye.
  3. Pyepye

    Lowassa atoa kauli kali sana kanisani

    kwa hiyo kauli yake hawezi kuitoa mahali pengine hadi akaitolee kanisani?, viongozi namna hii huwa nashindwa kuwaelewa dhamira yao ni nini!!! hawezi kuwaita waandishi wa habari ili atoe dukuduku lake mpaka asubiri kanisani/msikitini?
  4. Pyepye

    Mishahara Mwezi Agosti

    Manispaa ya Temeke huwa wanatoa mshahara tarehe 40. wao n do kawaida yao! ukipokea tarehe 27 au 28 ni ajabu sana. sijui kuna nini nyuma ya pazia! Temeke ni majanga sana Mkurugenzi na wahasibu wake wana lao jambo!
  5. Pyepye

    Deo Kisandu akacha siasa

    Ya kisandu mwachie kisandu lkn usidhalilishe fani za watu ebo!
  6. Pyepye

    Wachaga waongo

    vipo viazi vinavyozalia juu. huku kwetu pwani tunaviita vibambika. Dah! nimevimis sana
  7. Pyepye

    Taarifa kwa umma juu ya kutelekezwa na chama changu (NCCR Mageuzi)

    kisandu ni Mwl. si akafundishe tu
  8. Pyepye

    Kitabu Kipya: 'Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru' Chatoka

    pakua na ujisomee mwenyewe kitabu cha Harith Ghassany kiitwacho "kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru"
  9. Pyepye

    Utamfanyaje mtu anayeongea kwa sauti kubwa!

    huenda hasikii vizuri . kwani hiyo ni ni moja ya dalili za uziwi/kutosikia vziri
  10. Pyepye

    Utamfanyaje mtu anayeongea kwa sauti kubwa!

    huenda hasikii vizuri . kwani hiyo ni ni moja ya dalili za uziwi/kusikia vziri
  11. Pyepye

    Tunapoamua kuwa Wanafiki, Tujitahidi Tusiwe Wasahaulifu basi!

    wanao jiita wanasiasa! wana mbwembwe! mara nyingi mtoto mgomvi hakawii kulia! kama nyumba si yako inawekwa uzio we wasiwasi unatoka wapi? unahoji eti kwanini inawekwa uzio?
  12. Pyepye

    Unamkufuru Mungu bila kujijua

    Hii ni sawa na kujadili maini ya nguruwe eti waislam msile! kwani hiyo nyama yake imeruhusiwa? unatahadharisha neno lililopo kwenye wimbo kwani uislam unasema nini juu ya nyimbo?
  13. Pyepye

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo bwiru boys sec. (Ilemela) Mwanza nataka wa kubadilishana toka Ilala au kinondoni - DSM
  14. Pyepye

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wapigie simu tamisemi uwaeleze. Barua inapotea! Ni uzembe. Imepotelea wapi/mikononi mwa nani? Ikiwezekana fika tamisemi utapewa nyingine
  15. Pyepye

    Kambi ya Upinzani mwaka 2016

    Hongereni wanasia
  16. Pyepye

    Tamisemi

    Kazi kwao kwa wale waliokuwa wanasubiri majina ya uhamisho. Watakaoelewa maelezo ya thread hii ni watumishi au wenza wa watumishi wa serikali walikuwa wanayasubiri majina kwa hamu
  17. Pyepye

    Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

    zile ni biashara kama biashara zingine kwani wanampa nani bure?
  18. Pyepye

    Je, Rais wa Zanzibar ana mamlaka ya kutangaza siku ya mapumziko Tanzania nzima?

    waweza kwenda kazini kwani wengine kama makahaba.baamedi na wanaofanana na hao hawana mapumziko /likizo wao kila siku kiguu na njia
  19. Pyepye

    Hizi ndo athari za kupanda kwa bei ya umeme

    Id yako inasadifu ulichoandika
Back
Top Bottom