Search results

  1. M

    Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    Mungu akusamehe bure tu, umri! ila misingi unayoiona sasa ujue pia imewekwa, hakuna asiyefanya kosa, jitazame kwanza mwenyewe utajua ni makosa mangapi uliyoyatenda ndani ya familia yako tu, halafu hukumu.
  2. M

    Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

    Moyo kazi yake kusukuma damu, endelea kusaka unayemtaka, akikupa raha mpaka mwisho wa maisha yako kwa kile unachoamini, nitakupa zawadi. Nakuahidi kwa dhati kabisa, maana naona unasafiria katika ndoto
  3. M

    Kukosea namba kwanipa msichana bikra

    Ujanja mwingi mbele kiza, kakutana na msichana wa mjini kaona kapata, umalaya sheedaah sana. Pole mkuu, piga tu hizo namba, utawapata mbona!
  4. M

    Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata tendo la ndoa tena kwa bei nafuu

    Na huyo wa 30 hawezi kukupa? msingi hapa si kumtazama mwanamke kwa njia ya fedha kama mtoa mada anavyosema, ila ujue hata stress in gharama kubwa zaidi ya ukimwi
  5. M

    Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata tendo la ndoa tena kwa bei nafuu

    Huyo wa 30,000 wa nin wakati wapo wa buku 2? Hujui viwanja? Hizo gharama za stress ni kubwa zaidi ya hicho unachokisema
  6. M

    Naomba kujua jinsi ya kuuza makala

    Sio hapa, nifuate kuleeeee, nikupe namba zangu
  7. M

    Naomba kujua jinsi ya kuuza makala

    Inawezekana, nishtue, nikuelekeze
  8. M

    Mkutano wa CAF wapitisha maombi ya Zanzibar kuwa mwanachama huru

    Serikali ya Muungano nayo ilishiriki kupigania Zanzibar ipewe uanachama CAF, ndiyo maana TFF ilipiga kampeni. Zanzibar tayari wana nyimbo na bendera, hata Tanganyika ina nyimbo na bendera kiasi cha kurudishwa tu. Ila sema tunapaswa kutumia Tanzania Bara au Tanganyika? Unafiki utaanzia hapa!
  9. M

    Hongera sana homeboy kwa kumleta Flora (Mbasha) Henry nyumbani

    Mungu abarki tu! Ila kw uzinzi inaruhusiwa kutengana na haitenganishwi na mahakama. Ndiyo maana Kanisa Katoliki lina mfumo bora zaidi juu ya ndoa. Haya yetu, unaweza kuoa na kuacha kesho, ukaoa tena. Kama kanisa halikuitenganisha hiyo ndoa ya awali, hapa bado hakuna ndoa, ila kuna uzinzi...
  10. M

    Waziri Nape, wachukulie hatua Gazeti la Mwananchi kwa kuihujumu CCM

    Hakuna habari ambayo inatoka bila Bodi ya Uhariri kukaa na kuipitia na kujiridhisha, haswa hizo kubwa, wakati unawashutumu Mwananchi, ufahamu kwamba, walikaa, walijiridhisha na kuamini kile wanachokipeleka. Msifikiri kila kinachotoka kwenye gazeti mtu ameajiamulia tu. Acha povu la ushabiki
  11. M

    Kilichomkumba aliyekuwa Rais wa Liberia hayati Samuel Kanyon Doe....

    Wakati wa utawala wake, alikuwa anajiita ‘Dk. Doe’ na hii ni baada ya kupewa udaktari wa heshima na Chuo Kikuu cha Seoul. Ila mwaka 1989 akadai ana ‘ka-digrii’ alichopata kutoka Chuo Kikuu cha Liberia, ingawa hakuonekana akitunukiwa.
  12. M

    Jerry Silaa amesahaulika sana, napendekeza apewe ukuu wa mkoa wa Dar

    Kawaulize watu wa eneo la Guluka Kwalala (Gongo la Mboto Mwisho wa Lami) kwenye makazi rasmi ya wazazi wake na alikokulia kwa nini walimnyima kura za ubunge 'mtoto wao'. Wakikupa jibu....
  13. M

    E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

    Tatizo kuna wengi wameumizwa kwa vyeti visivyo vyao. Isikilize kwa makini hotuba ya JPM wakati amekutana na wafanyakazi wa Bandari alipozungumzia juu ya vyeti feki. Watu hawamuonei, ila wanataka haki itendeke kote kote, kulia si kujibu hoja na chozi halisaidii kuondoa tatizo
  14. M

    Kamishina wa TRA: Watanzania millioni 3 pekee kati ya millioni 45 ndo walipa kodi

    Kibaya zaidi inashangaza kuona kiongozi analalamika. Yule ambaye anatakiwa awe na jawabu, anaishia kulalamika. Mdada wa kazi analalamika, mfagizi analalamika, kiongozi analalamika, mwenye nyumba analalamika. Alitakiwa kuja na jawabu na kuonesha njia, si kulalamika Watanzania wachache wanalipa...
  15. M

    Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

    Nimejaribu kutafakari andiko lako lakini nashindwa kupata jibu. Siamini kama anapigwa vita na watu wa dili za dawa za kulevya. Tatizo kubwa ni mpango wa Serikali kuwatoa wenye vyeti feki katika ajira. D.A.B au P.C.M kasoma, lakini tatizo kubwa alipitia njia ya mkato. Hapo ndipo tatizo lilipo na...
  16. M

    Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

    JPM alimuuliza huyo mbunge juu ya fedha za Jimbo, akampigia hesabu mpaka alizopewa kwa sasa, akamuuliza hapo Somanga kaleta ngapi, akasema Sh mil 3, hivyo akamuuliza kama anaweza kuongeza au kuchangia ujezi wa hiyo zahanati kutoka katika fedha za mfuko wa jimbo anazopewa. Akajikanyaga
  17. M

    Kuzirai kwa baadhi ya wananchi wa Igunga kutokana na kujiuzulu kwa Rostam!!

    Katika Igunga kafanya makubwa mno kuliko mnavyodhani. Ndio maana watu wakazimia. Ni wilaya pekee ambayo kila kaya ina Bima ya Afya. Shule za Sekondari zimezidi hadi kata zenyewe. Zahanati nyingi kuliko vijiji. Anasomesha watoto kadhaa wa kimasikini Igunga, utaacha kuzimia?
  18. M

    Askari wa JWTZ na POLISI wachapana Kavukavu Mwanza

    Ungejiuliza ni kwa nini wananchi waliamua kuungana na JWTZ kuwashughulikia Polisi. Kuna sababu.
Back
Top Bottom