Search results

  1. MkoPoKa

    Kushabikia Mpira wa Tanzania Inatakiwa Uwe Mjinga kidogo

    Hii imakala umeandika Umevaa Nguo rangi gani!? Nyekundu na Nyeupe au Kijani na Njano!? Jitambukishe kisha tuone nanmna ya kukusaidia
  2. MkoPoKa

    Yametimia kweli, watanzania hatujaamini kilichoitokea Yanga

    Ilitakiwa wale HAMSA ingependeza Sana
  3. MkoPoKa

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Sema Nabi amekuwa kama sio Mwarabu, kwa nini hakufundisha Vijana wake hili la Kujiangusha na Kulala!?
  4. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mbwa jike akiwa Joto huwatafuta wanaume waliko ili wampe fimbo kisha akatulie na Kuzaa. Anayekufuga amekosaea sana kukuacha peke yako Bila Dume... Tukutane May tukikamilisha Hili duru.
  5. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii habari sasa nimechola kuisoma, kama anakuja na aje vinginevyo wanahabari watupumzishe sasa
  6. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Fanyeni homework zenu. Kila mtu ashinde match zake, hamna kasi yeyote zaidi ya fixture ilikuwa imekaa vyema kwe u. Sasa mnarudi mlikotoka, mkabanane na Chelsea kule chini
  7. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mzee kwa sasa tumeamua kila mtu ashinde match zake, haya mambo ya dua mbaya kwa mtu tumezifanya kwa zaidi ya miaka 14 na bado hazikuweza kusaidia tupate UBINGWA. CITY Ashinde zake na sisi tushinde zetu, tutaewana mwisho wa Msimu May Huko...
  8. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Make kwanza nicheke
  9. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Enzi imewaisha, nyie na Chelsea tofauti ni rangi ya Jezi tu
  10. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Enzi ya Unyonge imepita mzee, sasa acha tuoneahane ubabe tu
  11. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Waliomfunga walitola Sayari ipi!? Napiga shit tena naanza nae FA na baada ya hapo Game ya Home napiga
  12. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    We Mzee Shit napiga aisee, msimu huu ubingqa nautaka sio kwa utani
  13. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nawakumbusha tu kuna Gap la 5 Points.
  14. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kuna Maandiko au Post ukizisoma unajua uwezo wa akili y muandishi. Kwa hili andiko walau umetuambia kuwa una kichwa tu cha mfano lkn ndani kumejazwa matakataka, na kupitia uandishi yametoka Nnje.
  15. MkoPoKa

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Alijumuishwa kwenye kikosi au tunasubiri dirisha liwe wazi ajumuishwe!?
  16. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Baridi ni Kali pale Juu
  17. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hahahahahaha tumevurugwa FC
  18. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Siku tutakapiaamja na kuamua kuwa Serious team itarudi Kuupiga Ulaya, lkn with Stan na wahuni wenzie pale juu sioni hili likitokea. Wale wa Trust the process za Arteta naendelwa kuwakumbuaha with him hakuna matumaini tutayaoata, mwendo ni uleule, malalamiko tukizidisha kwa vipigo anahamasisha...
  19. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Our current form. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. MkoPoKa

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Chukua Taimu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom