Search results

  1. D

    POLISI WANAMSAKA Abdallah Alila ARUSHA

    Tungoje tuone maana lila na fila havitengamani
  2. D

    Pengo: Polisi wanafuga wahalifu

    If you remember in 1998 MWEMBECHAI KILLING WALISEMA WAUENI WAHUNI HAO na waliotekeleza mauaji hao walipandishwa na vyeo na kushangiliwa na hata na PENGO kwa wakati huo rais alikaa kimya na wale wale wameendelea kufanya mauaji hayo tena kwa makusudi kabisa kamakwamba hatuna haki ya kuishi katika...
  3. D

    Rais Kikwete kwenye Uzinduzi wa jengo la kitivo cha sayansi chuo kikuu cha kiislamu Morogoro

    Dhuruma ktk dawa zakulevya zimemtoa uhai zanzibar vp police mbona hamsemi mnaogopa kwa vle wakubwa watakasirika?
  4. D

    Msaada: Naomba kujua jinsi ya kufika Mafia-Island kutokea DSM

    mbagara rangi 3 panda magari ya nyamisati utapanda boti au mitubwi yenye engine acha uzembe nenda njia panda ya ulaya panda nddge dk 20
  5. D

    King'amuzi cha Digitek

    kama hakuna soka vizimwe tu nchi kwani ni maigizo tu.
  6. D

    JK na makuzi

    Waandishi wa habari na vyombo vyao wanatoa habari JK matokeo yamemshtua nawao wamkumbushe mahakamani alipokwenda cku anahutubia nayo ikafuata alisahau? Acwe nazi kwani alitegemea usanii wake ndio utawafunika wote? Na bado yanakuja alafu waandishi nao wasifanywe mbulula waambie wananchi ujinga...
  7. D

    Walimu kupongezana kwa matokeo mabovu ya wanafunzi ni uzalendo?

    na bado yatakuja maana nazi ni nazi tu, basi yawezekana akaenda mahakamani jk kupinga zero za watoto
  8. D

    Kama Clouds wameruhusiwa kukata rufaa, kwanini Redio Imaan pia isipewe nafasi kama hiyo?

    wanapoamua kufanya jambo walitakalo hawashindwi hapa duniani lakini haki itapatikana na ndio maana dunia haitakuwa sehemu salama, na zinatakiwa radio zinazotangaza ushoga na usagaji. TBC ndio maana inayafanya ya kijinga kwa vile wajinga wengi watakuwa ktk mtizamo wa kidini huku wao wakiimarisha...
  9. D

    Kama Clouds wameruhusiwa kukata rufaa, kwanini Redio Imaan pia isipewe nafasi kama hiyo?

    wanapoamua kufanya jambo walitakalo hawashindwi hapa duniani lakini haki itapatikana na ndio maana dunia haitakuwa sehemu salama, na zinatakiwa radio zinazotangaza ushoga na usagaji. TBC ndio maana inayafanya ya kijinga kwa vile wajinga wengi watakuwa ktk mtizamo wa kidini huku wao wakiimarisha...
  10. D

    Tanzania na elimu ya kinafiki

    Awali yayote niwapongeze wale ambao wamebahatika kufanya vizuri ktk mtihani wa kidato cha nne 2012 na kuwapa pole wote wasiofanya vizuri. Tunaposema elimu yetu ya kinafiki kihist6ria toka Nyerere ilikuwa ya magumashi kitabaka, itikadi na mengine mfano wanafunzi wa elimu ya juu walikuwa wachache...
  11. D

    Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    tusemapo bila kulinganisha tukio la bomu la Arusha na tindikali Zanzibar? Haki itendeki au mmesahau Pengo alisema waliouawa Mwembechai ni wahuni? Sisi tutawaambia watu wetu wafanye hili au lile. Yanatokea na yatakuja sana
  12. D

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    kabla ya uchaguz yalisemwa udini wakapinga kwa nguvu zote yametokea na hata watoa matangazo nao wanahucka ila kwa vile wao ni watawala kimya
  13. D

    Hujuma bungeni

    Hujuma imefanyika kuharibu mitambo ili bunge lisiweze kusikilizwa/kuonwa na watanzania ambao walikuwa na shauku ya kujua nini kitasemwa na wabunge kuhusu gesi,elimu na mengine kwani tumeona mara nyingi mijadala motomoto wanakatisha mara kwa mara ama Tanesco wanakata umeme
  14. D

    Mabomu na Risasi za moto zarindima Kinondoni Moroko Dar usiku huu!

    mahali ni migomo, Polisi wameua watu zaidi 8 masasi wananchi ambao hawana maji wala maendeleo yeyote. Vp walimu na madaktari nao warudi kundini mpaka kieleweke
  15. D

    Nyerere na mtizamo hafifu wa kusini

    Mengi yalifanyika kipindi cha Nyerere ambayo leo ndio tunaona matunda yake. Wapo wanaosema enzi za Nyerere ufisadi haukuwepo lakini tujiulize wameandaliwa na nani? Utaona wengi wao walizaliwa na kukuzwa na yeye ndo maana hila alizofanya kwa waswahili wa Mafia kubandua lami uwanja wa ndege na...
  16. D

    Jamani TBC

    TBC wanatumia kodi zetu mhucka alikuwa idara ya habari maelezo na uccm pekee hapana na udini ndo unaoharibu habari za ibada ni jumapili tu kujua nani kasema hili na wapi? Wakati toka ijumaa na jumamosi hayasemwi au hawana la kusema viongozi wao. ITV awali walionyesha nao wamerudi kulekule kwa...
  17. D

    Mwanza: Vurugu kubwa kati ya Polisi na wenye 'boda boda' zaendelea!

    awali yayote yaupasa kukemea hali hii maana waathirika wa hili familia zao zinabaki ktk umasikini na mahangaiko makubwa. Polisi wanataka tuwatenge wao pamoja na familia zao mashuleni wajengewe hukohuko madukani hatutawauzia na hatutawakopesha
  18. D

    MKAPA ndio kaimalizia Tanzania

    Hakika tunalo lakuwauliza kama Mkapa alidhubutu kuwa mkali katika baadhi ya vitu ambavyo alikuwa na maslahi navyo vp waliopo leo wameshindwa kukemea badala yake wamebaki kukenua meno na kuanzisha misemo mingi isiyo na tija kwa taifa vp leo kila kona kuna migomo ya wafanyakazi kila kona unyama...
  19. D

    Darasa la saba waliopata maksi 60 nao kubebwa kwenda sekondari - Agizo la Kikwete

    Mpango walikurupuka bila kujipanga matokeo yake ndio yanaonekana na bado hawa hawaelewi mm nawafananisha na mbuzi wanackia ila hawaelewi ukitaka waelewe MZIGIMZIGI ndio unafaa. Akili ya kawaida ilibidi waanze na majaribio wao nchi nzima wakati mtoto anamaliziza KKK hazijui ataweza siriba? Mgomo...
Back
Top Bottom