Search results

  1. chamlungu

    Mgao ujao wa umeme…

    Sawa, tusubiri
  2. chamlungu

    Napinga GSM kuingia mkataba na NBC ili kuendesha ligi kuu ya soka Tanzania

    Yaani mwenyewe umekaa umefikiri weee ukaona hili ndiyo bonge la issue la kutuambia. Kweli we kiazi
  3. chamlungu

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

    Acha uongo, Mzee Mkono amesimamia kesi gani hapa Tanzania na kushinda?
  4. chamlungu

    Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Unaweza kutibiwa kwa ruhusa maalum
  5. chamlungu

    Huyu mwanamke atanitoa roho

    Na atakuuwa kweli, we endelea kulialia hapa
  6. chamlungu

    Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    WALAKTA L'JINNA WAL INSSA ILAL' YABUDUUNA(Sikuwaumba majini na wanadamu ila kuniabudu)- Quran Kareem. Hilo ndiyo lengo mama
  7. chamlungu

    Usijisumbue kuonyesha ufundi, kama hana amani ya moyo ni lazima uchapiwe tu

    Ni vigumu kujua wanawake wanataka nini kwa sababu hata wenyewe hawajui nini wanataka
  8. chamlungu

    Yaani kugegeda vimanzi vivaa ndala za manyoya na vibegi mgongoni ni kisanga tu

    Kaka umenena ukweli mtu. Nilishakabeba kamoja, nikaingua nacho hotelini. Kufika kikaniomba kuna tamthlia anaomba aangalie Kwanza, kama saa 4 usiku. Nimeshapiga maji Mzee, nikaegesha, usingizi ukanipitia. Kushtuka saa 6 usiku. Wife missed call kama Mia! Nikasepa bila Kula mzigo
  9. chamlungu

    Shangazi wa Biharusi Mtarajiwa kushiriki Tendo la Ndoa na Bwana Harusi Mtarajiwa

    Najiuliza tu kama una watoto wanane wa kike , halafu shangazi ni mmoja. Endapo wote watachumbiwa, sijui itakuaje kwa shangazi
  10. chamlungu

    Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

    Kama huna nywele au una kipara, unachana nini au unafanyaje?
  11. chamlungu

    Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Ipo eneo la Makumbusho, imepakana na kijiji cha Makumbusho upande wa kushoto ukiwa unaelekea eneo la Victoria. Ni kwa ajili ya viongozi na maofisa usalama na familia zao, ingawa nasikia wenye bima wanatibiwa. Ni hospitali nzuri kwa maana ya huduma, vifaa na utaalamu. Inamilikiwa na serikali...
  12. chamlungu

    MKOPO 150K BONDI LAPTOP ICORE 7

    [QUOTwikosesrex, post: 31557197, member: 379967"] nahtaji mkopo wa haraka wa 150k naweka bond pc ya toshiba i core 7 marejesho one week, tafadhali mwenye msaada tuwasiliane Kama wiki si usubniri tu, ya nini kukopa?
  13. chamlungu

    TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

    Soma vizuri comment yangu. Nimesema hakuna cheo cha Brigedia, Bali Brigedia Jenerali. Hicho ni cheo cha kwanza kwa ngazi ya Majenerali, na anakuwa na nyota moja. Mfano huwezi kumuita Luteni Jenerali kama Luteni, cheo kina majina mawili, huwezi kutaja moja
  14. chamlungu

    TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

    Kijeshi hakuna cheo cha Brigedia, Bali Brigedia Jenerali, na anakuwa na nyota moja kwenye gari yake.
  15. chamlungu

    Yaliyonikuta leo saa mbili usiku karibu na Ofisi za NIDA kuelekea Tunisia road

    Yaani mwanaume mzima unakimbia wanawake, kweli wewe shababi? Lazima utakuwa mwanaume wa dar
  16. chamlungu

    Kumjua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati

    Yaani hivyo tu: kama hamuendi baa/hotel, kama husafiri, inakuaje?
  17. chamlungu

    Hatimaye CCM walitwaa Jimbo la Nassari, John Pallangyo apita bila kupigwa

    Technical mistakes mwaka 2020 zitakuwa nyingi sana, jambo litakalosababisha wapinzani wengi kupigwa chini na CCM kupita bila ya kupingwa majimbo mengi
  18. chamlungu

    Prof. Mussa Assad kumaliza muda wake November, 5 mwaka 2019. Je, Rais Magufuli atamuongezea mkataba wa ajira?

    Wakuu embu fafanueni : Bunge limemkataa CAG au Prof. ASAD? Maana Yangu akija CAG mwingine watafanya naye kazi au hawatafanya kazi na NAO bila kujali nani ni CAG?
Back
Top Bottom