Search results

  1. Kakondele

    Ajali za mabasi ni janga la kitaifa, serikali yapeni umuhimu stahiki maisha ya wasafiri

    95% ya ajali zinazotokana na mabasi zinasababishwa na uzembe wa madereva wenyewe kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa mambo ya barabarani utaelewa hili
  2. Kakondele

    Car4Sale Basi linauzwa bei nafuu sana

    Zhongtong Caesar Inauzwa Namba B Siti 60 2by2 Engine scania 93 Gearbox scania Diff scania Bei Tzsh 35,000,000/= Gari haina tatizo lolote Bima ipo hai Call, sms, whatsap 0759399805
  3. Kakondele

    Basi linauzwa

    Zhongtong Caesar Inauzwa Namba B Siti 60 2by2 Engine scania 93 Gearbox scania Diff scania Bei Tzsh 37,000,000/= Gari inafanya kazi Bima na latra vipo hai Call,sms,whatsap 0759399805
  4. Kakondele

    HIger inauzwa

    Higer inauzwa Engine_Scania 93 Model KLQ6145A Siti 52 Inatembea ila inachemsha Bei_ Tzsh30,000,000/= Call,sms,whatsap 0759399805
  5. Kakondele

    Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

    Higer inauzwa Engine scania 93 Inatembea ila inachemsha Bei Tzsh mil 45 Call,sms,whatsap 0759399805
  6. Kakondele

    Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

    kuna polisi alifika mwanzo hakuwa na silaha yoyote nae alizidiwa nguvu jamaa walikuwa na dumu lenye petrol
  7. Kakondele

    Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

    walifaulishwa ingawa baadhi yao waliibiwa mizigo na hao boda
  8. Kakondele

    Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

    aisee abiria walishushwa kwa vioo kupigwa mawe na baadhi ya vitu vya abiria vilibebwa na hao boda boda
  9. Kakondele

    Naomba msaada Luxury Buses kutoka Dar kwenda Kigoma

    luxury ipo Adventure nauli yao laki moja ni full luxury
  10. Kakondele

    Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

    Kwa anaehitaji Rosa ya kukodi kutoka Mwanza kwenda mikoani inapatikana .Full Ac .inakibali cha latra (special hire) .Bima ipo kwa gharama nafuu zaidi Call,sms whatsap 0759399805.
  11. Kakondele

    LATRA wapo kwa niaba ya nani?

    latra haipo kwajili ya wafanya biashara wa magari wala wananchi,iyo ipo kwajili ya serikali mkuu ndio mana kama unakumbukumbu nzuri baada ya sumatra tu kuanzishwa scandnavia nayo ikaanza kupotea
  12. Kakondele

    Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

    mchina za saizi ni chache sana zenye vitu vya scania saizi kaamua kuwa serious upande wa engine,gearbox,front axle na diff
  13. Kakondele

    Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

    michina ya sasa hivi sio kama ile ya mwanzo saizi wameimprove upande wa spea zao hata upatikanaji saiz ni rahisi haina haja ya kupiga mixture na scania
  14. Kakondele

    Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

    fatilia vizuri biashara nyingi za mabasi zilianza kuonekana biashara kichaa baada ya kuanzishwa kwa sumatra na sheria zao
  15. Kakondele

    Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

    scania waranty yao ni km 150000 baada ya hapo utajua wewe,hiyo life span ya miaka 3 unasemea hizi scania ambazo ni full umeme alafu hesabu ya basi haiendi kama unavyorahisisha hapo
  16. Kakondele

    Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

    scania anatengeneza chasis tu,hatengenezu mabasi hasa kwa huu mfumo wa engine mbele na hizi scania za sasa hivi F310,F360 service yake ni gharama sana kwasababu yanatumia umeme mwingi tofauti na 94.fatilia wenye hizo gari wengi mkataba wa service ukifika mwisho pale scania wakianza kuzitengeneza...
  17. Kakondele

    Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

    acha uongo mkuu unachukulia poa bei ya mchina eeh
  18. Kakondele

    Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

    Zhongtong Climber Namba D Siti 53 Engine Cummins L360 Gearbox_Fast Retarder,Abs Ina ulaji mzuri wa mafuta Miezi miwili waranty Bei_Tzsh mil 55,000,000/= Unaweza lipa kwa awamu kwa makubaliano maalum,malipo ya awali ni Tzsh 35,000,000/= Call,sms,whatsapp 0759399805
Back
Top Bottom