Search results

  1. T

    Dodoma: Mbunge wa Viti Maalum ashauri Uwanja wa Ndege wa Mbeya uitwe Tulia Ackson

    Mbeya ina matatizo mengi. Swala la jina la uwanja wa ndege ni dogo sana. Kwani jina lina nini? Badala ya kuomba barabara angalau kutoka mjini kufika hiyo airport au ufumbuzi wa ajali mlima Mbalizi. Barabara ya Katumba Mwakaleli Tukuyu bado.[emoji848][emoji848].
  2. T

    Utendaji wa Magufuli unaongoza Afrika

    [emoji87][emoji33][emoji2210]
  3. T

    Prof. Mwandosya: Mkuu wa nchi akitengua uteuzi, peleka ujumbe wa shukrani

    Wewe umefanya nini? Yeye alikua mbunge na waziri miaka 15!
  4. T

    Prof. Mwandosya: Mkuu wa nchi akitengua uteuzi, peleka ujumbe wa shukrani

    Sikujua Mwandosya sio mutanzania kama wengine
  5. T

    Prof. Mark Mwandosya: Kikwete aliniteua kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu hadi 2020, leo Msekwa anachukua nafasi hiyo..

    Alipewa wizara maalum kwasababu ya afya. Alikua ametumikia sana taifa lake akiwa mzima.
  6. T

    Prof. Mark Mwandosya: Kikwete aliniteua kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu hadi 2020, leo Msekwa anachukua nafasi hiyo..

    Chuki kwa Mwandosya haitabadilisha mchango wake kwa Tanzania wala haitapunguza akili Mungu alizompa. Prof. Tenda mema nenda zako ukisubiri shukrani nakusikiliza watu kama hao utachelewa
  7. T

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Philemon Mikael Well said
  8. T

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Marry Ngowi kama ni jina lako la ukweli naona unaendelea kutapika tu
  9. T

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Aliyetoa mada au povu kuhusu Mwandosya naona ana chuki binafsi nae. Anauliza Mwandosya alifanya nini? Awaulize jimboni kwake. Afadhali siku hizi tunapanda ndege sijui kama mtoa mada anajua ilikua juhudi ya Mwandosya.Yeye Mbeya amejifanyia nini? Kwa taarifa yake, Mwandosya hatibiwi na Serikali...
  10. T

    Prof. Mark Mwandosya na Eston Mwangilangwa DC Rungwe mnaihujumu CCM

    Una uhakika na hayo unayosema? Umekosa kazi kweli. Mwandosya hata DC mwenyewe hamfahamu. Mzee wa watu anapumzika achana na majungu tafuta kiwanda ukafungue. Mwandosya aliyejitoa kuweka Mbeya kwenye map atarudishaje nyuma maendeleo ya Rungwe? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T

    Mbunge wa jimbo la Rungwe Magharibi, Prof. David Mwakyusa pamoja na CCM presha juu

    Kwa wale ambao hawana taarifa, Mwandosya ameisha tangaza kwa wapiga kura wake hatagombea tena.
  12. T

    Mbunge wa jimbo la Rungwe Magharibi, Prof. David Mwakyusa pamoja na CCM presha juu

    Kama huna kitu cha ku post nyamaza kuliko kuandika upuuzi.
  13. T

    Wajumbe wapya wa Kamati Kuu CCM hawa hapa...

    Hmuuuu Mikoa mingi haijaakilishwa lakini Iringa kama kawaida ni watu kibao Makinda Lukuvu Mangula PindiChana Na huyo binti kuna nini kila wakati achaguliwe?????
  14. T

    Makundi CCM yamzonga Kikwete

    Kauli ya Mheshimiwa JK inashangaza sana. Aliyoanzisha makundi na rushwa ni yeye na bado makundi yake yanaendelea hata bada ya miaka nane ya utawala. Mwandosya alimfanyia kitu gani kibaya?? Baada ya 2005 Mwandosya hakua na makundi wala kinyongo, aliendelea kutumikia nchi yake na kumpigia debe...
  15. T

    Sophia Simba ambwaga Anne Kilango uenyekiti UWT

    Kidedea wapi!! Kahonga mahela kibao halafu anajiita mshindi
Back
Top Bottom