Leo katika gazeti la mwananchi la jumapili Warioba: Ikulu kugawanywa - Kitaifa - mwananchi.co.tz
Jaji Warioba amesema ya kua baada ya muundo wa serikali tatu kwa mujibu wa katiba mpya (kama itapitishwa)Mali zilizokua zikimilikiwa na serikali ya muungano yakiwemo majengo na Ikulu...
Wengi tumekua tukifuatilia hotuba na maadhimisho ya hotuba za wizara mbalimbali lakini wizara ya ardhi imekua tofauti na nyingine.Wao wamejikita katika kuwasilisha hoja na siovijembe kwa wapinzani au kuisifia chama tawala CCM na pale kuna mazuri toka upinzania wanakubaliana nayo.
Inasikitisha kuona kiongozi mzoefu kama Sitta na mawaziri wengi wa serikali ya CCM wanatumia muda mwingi kuipiga vijembe CHADEMA badala ya kujibu hoja muhimu naona katika vikao vya ndani vya CCM kuna maelekezo yaliyotolewa katika vikao vyao vya ndani ya kua kila mbunge au waziri lazima aitamke...
Jamani aliekimbia mjadala hapa sio Dr.Slaa ni Kinana Nape sio saizi ya kuzungumza au kushiriki katika mdahalo na Nape hata na Myika.Kwa Dr slaa kushiriki katika mdahalo na Nape ni matusi n adharau kubwa kwanini ITV hawakumtaarifu kua Kinana kakimbia.
Kwakweli hotuba ya jana ya magufuli imeonyesha ya kua yeye ni ze komedi alitumia muda mrefu kuwabeza wapinzani na kuisifia CCM na Kikwete na kutoa takimu zisizo na tija badala ya kujikita kutoa kutoa ufafanuzi kwa hoja za msingi.Hotuba ya kambi ya upinzani iliyotolewa na makamu mwenyekiti Arfi...
Kwakweli hotuba ya jana ya magufuli ina one ya kua yeye ni ze komedi alitumia muda mrefu kuwabeza wapinzani na kuisifia CCM na Kikwete na kutoa takimu zisizo na tija badala ya kujikita kutoa kutoa ufafanuzi kwa hoja za msingi.Hotuba ya kambi ya upinzani iliyotorewa na makamu mwenyekiti Arfi...
Ndugu yangu naona unajaribu kusoma gazeti ukiwa umevaa miwani ya mbao ,najua CCM inafanya kila mbinu kubaki madarakani lakini kuna aina nyingine za mbinu inazozitumia ni janga la taifa mifano iko wazi.
Kwa hali ilivyo katika chama tawala CCM(chama cha mafisadi)Hambacho hatima yake ni mwaka 2015 na inawezekana kabla ya hapo hata kitumie mbinu zipi ni vigumu kubaki madarakani hata kiushawishi uongozi wote wa CHADEMA kujiunga na CCM,kichukue pesa zote za banki kuu,pesa zote za bajeti n.k.KUBAKI...
Kwa elimu hii tunakokwenda hata hivyo vyuo VETA n.k zitakosa wanafunzi au vitapata wanafunzi wasio kidhi viwango na matokeo yake wataalam feki ili ni janga la taifa.
Nape sababu ilizozitoa hazina mashiko kurushwa kwa habari "live" Zinatoa nafasi kwa kwa wananchi kuelewa ni wabunge gani wanatetea haki zao na wabunge wapi wanatetea matumbo yao na wapi wanaosinzia bungeni.Kutokana na tabia ya CCM kuogopa ukweli wanafanya kila mbinu kuzuia vitu hivyo.Ebu Nape...
Le Mutuz inabidi tukusamehe,kwani jana ilikua Jumapili umekunywa chupa ngapi za bia,konyagi au konyangi ya kwenye makaratas(Ganja)Maana mtililiko wa wa majibu yako unanishangaza:target:
WanaJF kunawakati ambapo Kujibizana na mtu huyu NAPE, tunajivua nguo au tunajaribu kumfukunza kjichaa alietuchukulia nguo zetu tukiwa tunaoga na kujaribu kumfukuza na kukimbia tukiwa uchii tunawapa nafasi watu kujadili ,sio kilichojili bali ni nani kati yetu mwendawazimu.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Tafadhari Yahaya unapowakilisha hoja tuwekee na namba ya simu.Kweni kwenye runinga kwa sisi tuliopo nje ya nchi tunawafatilia kupitia mtandao namba haionekani natoa pongezi kwa kazi nzuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.