Search results

  1. Shedafa

    Jenerali Ulimwengu: Itachukua miaka 40 Demokrasia ya Tanzania kuifikia ile ya Kenya

    Nashangaa watanzania kuwafanya wapinzani kama malaika, kwamba wana uwezo kupita wa kibinadamu. Hata ni watu kama mm na ww, tofauti inaweza kuwa wamekuwa jasiri kutumia haki yao ya kikatiba. Nao wanatafuta taarifa kama mm na ww, na wasipoungwa mkono hawawezi kufanya lolote. Nguvu yao iko kwako na...
  2. Shedafa

    Uhuru Kenyatta: Sikubaliani na maamuzi ya Mahakama, lakini nayaheshimu

    Ndugu yangu hebu tuheshimiane basi, haya ni mawazo yangu hata kama huyapendi! Mimi sio Mr Kenyatta, mpe heshima zake ni kiongozi wa nchi!
  3. Shedafa

    Uhuru Kenyatta: Sikubaliani na maamuzi ya Mahakama, lakini nayaheshimu

    Siku ya leo imeandikwa historia muhimu sana katika eneo hili la Afrika, kilichotokea Kenya ni hatua ya mfano! Naweza kusema jamaa wame set standard kwa eneo letu la Afrika, kazi ipo je nchi zingine zitafika kiwango hiki? Nawaombea Mungu awavushe salama, warekebishe kasoro na wamchague kiongozi...
  4. Shedafa

    Watanzania: Shikamooni Wakenya, nyie ni wakubwa.

    Sio siri, tuna mengi ya kujifunza kutoka uchaguzi huu wa Kenya!. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Shedafa

    Ishu ya ardhi!

    Wadau naomba msaada wa ushauri au ufahamu! Kwa kipindi kirefu nimekuwa na matatizo ya ardhi, ofisi inayoshughulikia tatizo yangu ni Land saveyor ya manispaa. Kuna kipindi nilikata tamaa nikaachana nalo, ila baada ya Lukuvi kuhimiza mwaka jana nikaona ni vyema nikajaribu tena. Bahati mbaya...
  6. Shedafa

    Uhakiki wa bima za magari!

    Kwani wameshasema wakikuta huna bima watachukua hatua gani?
  7. Shedafa

    Uhakiki wa bima za magari!

    Unaposema makampuni yanayojulikana, una maana gani? Unaweza kufafanua please!
  8. Shedafa

    Uhakiki wa bima za magari!

    Kwa siku kadhaa sasa mitandaoni kumekuwa na habari kuwa wenzetu wa usalama barabarani wanataraji kuanza uhakiki wa bima za magari, nimeona kuna link pia imewekwa ili kujua kama bima ni halali au la. Kwa wenye taarifa tunaomba watueleweshe vizuri, au wenzetu wanaofanya kazi kwenye vyombo vya...
  9. Shedafa

    Funguo za magar za remote na sensor

    Mpo wapi?
  10. Shedafa

    Machinga msipo jenga awamu hii basi, hamtakaa mjenge tena

    Huyo mwenye petrol station apeleke wafanya kazi lkzo tu, hamna kazi hapo. Mwenye gari ukijipendekeza tu na maisha yako ndio mwisho, hao wanatafita sababu tu.
  11. Shedafa

    Kioo cha Tv Sony bravia kinauzwa

    Nikuuzie hiyo tv yenyewe kwa 150,000/-, ina tatizo la kioo. Ukishaweka unauza tv nzima, bei yako kwa kioo tu ni kubwa!
  12. Shedafa

    TRA ni wakusanya kodi au watoa adhabu?

    Najiuliza kwa sauti, hivi wangepata hasara gani kama wangeweka watumishi wa kutosha pale uwanja wa taifa na kuweka muda. Mfano, kuhakiki Tin ni kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 5. Kwa mara ya 2 leo nimeshindwa kuhakiki, nimekaa naona muda unakwenda tu hata kundi la kwanza lililoingia saa 2...
  13. Shedafa

    TRA ni wakusanya kodi au watoa adhabu?

    Suala zima la uhakiki wa Tin ni adhabu, aidha hawajajipanga au hawaheshimu kazi za wengime.
  14. Shedafa

    TRA ni wakusanya kodi au watoa adhabu?

    Kwa haya yanayoendelea kwenye zoezi la uhakiki inaonyesha TRA wanajiondoa kwenye kazi yao ya kukusanya kodi na kuhamia kwenye kutoa adhabu kwa Watanzania. Nipo uwanja wa Taifa, watu wameacha shughuli za kujitafutia riziki na inasemekana itakuwa siku nzima. Pia haina uhakika kama leo...
  15. Shedafa

    Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

    Jamani naomba kuuliza, kuna video inasambaa kwenye mitandao ikionyeshaa majengo pacha ya bank kuu yakiungua. Je, kuna ukweli wowote, au ndio kutafutiana jela huku?
  16. Shedafa

    Kuwepo na alama itakayoonyesha trafic aongozapo magari kwenye mataa

    Salam wapendwa, Kama kuna wataalam watakaonisoma, napendekeza kuwepo na alama au ishara katika mataa ya barabarani itakayomwonyesha dereva kuwa sasa anayeongoza magari ni trafic na si taa. Nashauri hivi kwasababu nimeshuhudia kiasi kama mara 2 ajali zikitokea eneo la mataa, sababu kubwa ni...
  17. Shedafa

    Tukio lililotutokea usiku wa kuamkia leo ni wazi Kenya iko salama zaidi

    Watanzania hatupendi kuambiwa ukweli, yaani hadi inakera! Kwa kuwa hayajawakuta tu.
  18. Shedafa

    Tottenham Hotspurs Thread

    Nipo Mbu, ila Leicester hawakamatikiiii!
  19. Shedafa

    Hakuna sababu ya kuzisifu Shule Binafsi

    Mtoa mada umesahau kuwa hata serekali pia inachuja, au unataka kuniambia ni wote wanaomaliza darasa la saba wanakwenda sekondari?
  20. Shedafa

    Tottenham Hotspurs Thread

    Taarifa kwa wadau! TUNAFUKUZA MWIZI KIMYA KIMYA!
Back
Top Bottom