Search results

  1. B

    Smile 4G LTE vs Tigo 4G LTE vs Smart

    Asante mkuu, ngoja nikimbie Tigo nikachukue line ya 4g, nifaidi speed yake
  2. B

    Smile 4G LTE vs Tigo 4G LTE vs Smart

    Mkuu kifaa chenye band izi kinaweza kusoma 4G LTE network? GSM 1800, GSM 1900, GSM 900, GSM850 (GSM800), LTE FDD BAND 1, LTE FDD BAND 20, LTE FDD BAND 3, LTE FDD BAND 7, LTE FDD BAND 8, LTE TDD BAND 38, WCDMA FDD Band I, WCDMA FDD Band VIII
  3. B

    Tuna design, tunaprint na tunatengeneza mabango ya matangazo mbalimbali

    Kama unahitaji bango au tangazo la biashara, vipeperushi, business cards, stika, n.k Popote ulipo Tanzania tuwasiliane kwa namba 0659 496 429 / 0765 693639. Karibuni sana
  4. B

    Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Nahitaji kilo nyingi, mwenye nazo kuanzia kilo 100 tuwasiliane 0659496429
  5. B

    Naomba msaada hata kwa ushauri utaofaa!

    Amani iwe juu yenu! Mim ni kijana 22, elim yang ni kidato cha 4, naishi Dar. Nna ujuzi mzuri wa kompyuta (basic computer application). Pia nna ujuzi mzuri wa Graphics Design kwa kutumia Adobe photoshop na Adobe Illustrator. Graphics Design ni ndoto yang lakn nashndwa kujiendeleza kutokan na...
Back
Top Bottom