Chama cha mawakili Tanganyika (TLS) kimepata pigo baada ya aliyekuwa mwanachama cha Chama hicho wakili Loomu Ojare kufariki dunia ghafla akiwa kazini.
Ojare alifariki dunia na kuzikwa nyumbanj kwake mapema skku kadhaa zilizopita baada ya kuugua ghafla akiwa kazini na hivyo kuacha pengo kubwa...
Unataka kuniambia Polisi, Speaker, na Serikali ya CCM wanabaka Katiba kupambana na kivuli? Nilifikiri wangekuwa wamerelax sasa na kuweka nne na sio kihangaika kuliko "walioisha"
Miaka mitano siasa wamefanya CCM peke yao, wamewafunha magerezani, Wamemunua watu wao, wamefanua kila ujinga lakini...
Hili swali linaweza kuulizwa na taahira tu! Kajifunze kwanza Demokrasia na Maendeleo ujue tofauti au ufanano wake ndipo urudi kuuliza. Tafuta kitanu cha Nyerere, Freedom and Development kitakupa mwanga
Katika zile trilioni 425 jamaa wanagharamia usd 300mil tu ambayo mwanzo walidai ni kishika uchumba.. Wamegeula
Hakuna kesi ya kusikilizwa Tanzania, tutanyongewa huko kwaabeberu. Bisheria vyetu vipya ni mpaka madini yaishe
Hakuna kujisajili soko la hisa la Tanzania.. Ile 30% ya hisa kwa...
Mkiweza lutafsiri mrudi tena... Hata kile lishika uchumba hakipo..ndio sehemu ya malipo ya mavuno. Kilichotokea ni Acacia kufichwa ndani ya Barick.. Kuibiwa ni pale pale !!
Waliosaini milataba ya kuibiwa ndio hao hao leo wanataka waonekane malaoka... Hakuna cha Noah wala kivuli chake.. Wajinga...
MASHUHUDA WAELEZEA ASKARI MAGEREZA ALIVYOMUUA MWENZAKE
_________
ASKARI magereza Faustine Masanja amemuua askari mwenzake Ombeni Mwakiyani kwa kumpiga risasi kichwani.
Kamanda wa mkoani hapa, Charles Mkumbo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea leo majira ya asubuhi wakati wakiwa...
Katika wapuuzi niliobahatika kusoma maandishi yao wewe ni mpuuzi zaidi.. ungejitolea kwa ajili ya majaribio ya chanjo za ebola na ulimwi angalau ungekuwa na faida!
Heshimu ambacho hakikuhusu? Unachoshwa na nani? Umeshindwa kutafuta sabuni ukajichua landa uwe busy usichoshwe?
Next time kaa...
Mke wa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, amesema angependa kuwajua watu waliomshambulia mumewe, aliyewaamuru wafanye shambulio hilo na sababu za kufanya uovu huo.
Mke huyo ambaye pia ni wakili, Alicia Magabe anasema kuwafahamu watu hao ni muhimu kwa kuwa familia haijui kwa...
1. Ujinga
2. Ubinafsi Na Ufisadi
3. Ubepari
4. Ukabila Na Usehemu
5. Ubinafsishaji Holela Wa Mali Za Umma
6. Kuongozwa Kwa Rimoti Na Nchi Matajiri
7. Ubabe Na Vitisho Katika Uongozi
8. Umangimeza Na Ukiritimba
9. Usiri Wa Mikataba Na Makampuni Ya Kigeni
10. Rushwa
11. Uchu Wa Madaraka
Mbunge wa Rombo Mh Joseph Selasini (CHADEMA) ataongoza mamia ya vijana na wanajamii wengine katika uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti jimboni humo kesho January 1, 2017 katika eneo la Mamsera.
Zaidi ya miche 1000 ya miti imeandaliwa kuoteshwa maeneo mbalimbali ya Jimbo la Rombo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.