Search results

  1. P

    Msaada wa kisheria toka kwenu wadau kuhusu ununuzi mpaka usajili wa gari yangu

    Mwaka 2009 nilinunua gari yangu aina ya Toyota kupitia rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara wa kuagiza magari yaliyotumika toka japani. Huyu rafiki yangu pia ni mwanasheria, tuliandikishana kimaandishi namna ya kulipana na mashariti yote nilifuata na gari likafika nchini mwaka huo, 2009...
  2. P

    Wadau Hodi humu ndani........................! !!!

    Wadau habari za leo ? Natokea pande Kaskazini Arusha, nikaribisheni wadau.....
  3. P

    Kikwete saidia wanawake hawa tafadhali

    Hii kweli si vizuri kabisa pia nafikiri ni hatari sana maana hata majbazi hujificha kwa style hyo hiyo:thinking:
Back
Top Bottom