Search results

  1. S

    kumbe wanaoeneza propaganda dhidi ya CCM wanatumiwa na CCM ili kuimarisha chama

    Ni aibu kubwa sana hata kama kuna wengine wanaendelea kuingia sawa ila KIONGOZI LAZIMA UWE MFANO. WAMKABIDHI KINANA kadi maana wengine nasikia huchelewa hata kuzilipia hadi wadaiwe. Ni aibu sana! Nape ameona mbali hili. Akaona awaumbue. Siasa mbaya sana.
  2. S

    kumbe wanaoeneza propaganda dhidi ya CCM wanatumiwa na CCM ili kuimarisha chama

    Wanabodi, Kumbe propaganda dhidi ya CCM ni mpango wa baadhi wa watu ambao wapo upinzani lakini bado wanamiliki kadi za CCM ili kupima upepo wa wananchi. Ndio maana wao wanamiliki kadi za CCM na za vyama vyao vipya. Swali: Mbona wao wanapopata wanachama wapya wanazichukua kadi za CCM na...
  3. S

    Safu ya uongozi 2015

    Wanajamvi, Tupange safu ya viongozi ambao wataiweka nchi katika mstari. Ikiwezekana fasu ikikamilika apewe Mh. Rais anayemaliza muda wake. Rais ajaye: Edward Lowassa Vice president: Gharibu Bilali Prime minister:John Pombe Magufuli Waziri wa Ujenzi:Mwakyembe Waziri wa Sheria na Katiba: Tundu...
  4. S

    Zanzibar: Viongozi wa UAMSHO wahojiwa na Polisi, kupandishwa kizimbani Jumatatu...

    Muamsho bwana! Hizi vurugu zinatupeleka wapi jamani!! Serikali yenyewe ndio hii, haina dini. Itafanyaje?
  5. S

    Shukrani na Karibuni kwa huduma ya Massage

    samahani, hapa napita tu!
Back
Top Bottom