Search results

  1. mchapa

    Kanizidi umri

    Habari wana JF,huyu dada ndo chaguo langu kwa ukweli na ana kila sifa ya kuwa mke wangu na tunapendana sana,tatizo linalonisumbua sasa ni kwamba kanizidi kama miezi 9 hivi,na muda ndo huu wa kuanza michakato ya ndoa. Je ni sahihi kuoa mke aliyekuzidi umri ingawa kwa muonekano ni kama mimi ndo...
  2. mchapa

    Sina hamu na mwanamke tena hata akiwa mzuri kiasi gani!!

    Pole sana kaka km kaamua maisha hayo usimfuatilie sana mchunguze kimya kimya kuwa happy na kila kitu hapo home usjali kukaa kwake kimya anakufanyia kusudi km unakunywa pombe pitia baa rudi uko nduki unalala cha muhimu mtoto awe salama atanyooka mwenyewe ndo walivyo hao usishinde nae nyumbani...
  3. mchapa

    Heee! sipend anavyochat,nifanyaje aache?

    Stuka dem wa hivyo ana mambo mengi na yko ki digital zaidi sms 500 za nn?then wwe tatu tu,jaribu kuchunguza utagundua anao chat nao wengi wao ni wanaume na ukiuliza utaambiwa marafiki tu,mwnamke ambae yko busy kila dk na fb,what up, bbm huyo bado asearch for device may b km na wwe unasogeza sku tu
  4. mchapa

    Jinsi ya kudownload videos,movies,audios ktk galaxy s3,msaada plz

    Wakuu naomba msaada ktk hili nimejaribu kutumia apps tofauti kutoka google play tatizo nashindwa kuitumia app husika kuweza kudownload nyimbo au muvi.msaada kwa anayue fahamu plz
  5. mchapa

    Mpenzi anataka tufanye mapenzi watatu

    thank hapo nakuelewa vizuri kunakila dalili
  6. mchapa

    Mpenzi anataka tufanye mapenzi watatu

    Habari wakuu,mi na girl mpya ila kwa sasa tumezoeana kidogo km 3 monthes hv,aliniambia hanywi pombe before ila mi nakunywa km kawa,cha kushangaza kuna siku tulizinguana nikamwacha ghetto nikaenda kitaa kupiga moja moto niliporudi sikuamini kulikua na grants ndani ambayo ni yangu alikua akinywa...
  7. mchapa

    Naweza pata laptop apple used na kwa bei gani?msaada plz

    Wakuu nataka jua km naweza pata laptop ya mac used na bei yake kwa ajili ya kutumia ktk visual dj na pioneer cdjs ktk club.thanx
  8. mchapa

    Tunapendana sana ila kwa hili sielewi cha kufanya

    mkuu mpka kuandika hv hayo yote yashafanyika na sijaanza leo kuduu mzee.
  9. mchapa

    Tunapendana sana ila kwa hili sielewi cha kufanya

    Habari zenu wana MMU, kuna binti nimefahamiana nae km 2month ago na tumependana ki ukweli,nlikua nikitafuta mpenzi wa namna hii kwa muda mrefu. Huyu binti kamaliza chuo na anakazi kwa sasa,Nashukuru mungu ananipenda sana na toka nimfahamu sijahisi km ananisaliti kwa namna yyte ile.Kwa bahati...
  10. mchapa

    Sababu ya Man Utd kubebwa hii hapa

    Nafikiri haufahaamu vizuri unachokiandika,gill kuwapo fa si ajabu km unavyofikiri na ndo mana kafikia kuwa na cheo hicho na wala usifikiri yupo peke yake hata kina kenyon wapo na wengine wengi,hata hapa bongo kaka hujawahi sikia kama rage yuko katika klamati za Tff? unachoongea wewe ni stori za...
  11. mchapa

    Haijashinda darajani miaka 10 ni vp leo man u inabebwa?

    Kua mshabiki wa timu flan haimaanishi kuchukia timu nyingine,km mpenzi wa mpira unatakiwa kuangalia pande zote na si kusimamia ushabiki,wikend hii ya primier league nimeona maamuzi mengi mabovu ambayo yamepelekea kuathiri timu zingine tukianza na mechi ya asernal.goli walilofunga asernal baada...
  12. mchapa

    Kumbe hata Ulaya marefa nao ni magumashi

    Jiongeze mkuu huoni hao man u na barca ndo wanaojua mpira,kila siku mtalia na tim zenu mbovu hizo mpira ni mbinu sio kukimbia kimbia tu
  13. mchapa

    Ingelikuwa Ni Wewe Ungalifanyaje Jamani? NISAIDIENI!!!!

    Niko pamoja na wewe mkuu maana wabongo kwa kuigiza mpaka kwenye vitu vya maana km hivi,huu mchezo sio mgeni siku hzi hasa suala la mwanamke kupigwa kidole nalo tunajifanya et hatulijui acheni unafiki wakati jamii inaendelea kupotea,leo hii chukua masista duu wa chuo then test zali uone km kuna...
  14. mchapa

    Kazi yangu na wife material vinapishana,dah

    dah yani tunao ishi camp(ndani ya mgodi) watu 500 wanawake wako 70,cheki hiyo ratio unajipenda hapo na mbaya wanawake wenyewe washakua wapenda hela wanaongwa sana huku wala hawana mapenzi hayo ya ndoa na wao wenyewe 2 wanazeekea huku.
  15. mchapa

    Kazi yangu na wife material vinapishana,dah

    Huwezi anza mahusianno tu nakuoa mzee lazima uvutu muda kidogo ili mchekiane fresh au..
  16. mchapa

    Kazi yangu na wife material vinapishana,dah

    Hajaolewa mkuu ila yupo kitaa ambapo na mi naishi na tabia yake haikua nzuri baada ya kuachana kiasi kila mtu anajua,sina mapenzi nae mara nyingi anapiga cm,nia ya kuo ninayo ila mda ndo tatizo
  17. mchapa

    Kazi yangu na wife material vinapishana,dah

    Wakuu naomba msaada ktk hili,nikiwa chuo miaka miwili iliopita nlikua na gf wangu ambaye nliamini ndo atakua wife kwn tulikua pamoja toka nikiwa o levo na tulipendana sana kwa miaka yote hiyo,shida ilianza baada ya kumaliza chuo coz ilikua ngumu sana kupata kazi kiasi gf akaanza kuchoka na...
Back
Top Bottom