Search results

  1. U

    Gemstones.

    Wanajamvi Kuna blog nimeitembelea nimeona inaandika masuala ya gemstones,kwa wale wafanyabiashara ya gems hebu nenda NORTHMARA BLOG - Jamii Kwanza
  2. U

    James Mbatia;Wasomi wengi wanapotosha ukweli awamaliza wanao taka serikali 2 kwa takwimu makini

    ukiangalia wakati james mbatia anatoa somo la takwimu watu makini kama prof.mark mwandosya, ambao wanaujua ukweli aliokuwa anaongea mbatia,alikuwa amekaa ametulia tuli.lakini huyu mnyiramba mwiguli alikuwa kama kabanwa mkojo vile.na kwa maoni yangu m/kiti wa bmk mh.sitta ni muumini wa serikali...
  3. U

    Kinana Mfano wa Kuigwa, awasili Dsm kwa Treni ya TAZARA, Apokelewa kwa Kishindo

    Aache mzaha na kumkufuru mungu. Yawezekana hajawahi panda treni ya kichovu kama hiyo so ilikuwa kama adventure fulani ,anafanya hayo yote akijua mwisho wa siku kule kwenye account yake ya bank ina-overflow, mambo safi,watoto wake asbh wanakula mkate ulopakwa siagi ,na hawana shida.
  4. U

    Maandamano kupinga serikali kupandisha bei ya umeme

    BAADA YA WANAKIGOMA KUANDAMANA KUPINGA UJIO WA KATIBU MKUU WA CDM Dr.SLAA NA JESHI LA POLISI KUTOA USHIRIKIANO WA KUTOSHA, SASA HEBU ,TARATIBU ZIANDALIWE TUANDAMANE NCHI NZIMA KUPINGA KUSUDIO LA SERIKALI YA CCM KUPITIA TANESKO KUPANDISHA GHARAMA ZA UMEME.POLISI WATOE USHIRIKIANO KAMA WALIOUTOA...
  5. U

    Ztto kabwe na mabilioni ya uswisi

    Ndugu wana jf naomba kujua,ikitokea zzk akafukuzwa chadema kabla ya kutueleza(au kututajia majina ya hao watoloshaji) alikofikia kwenye uchunguzi wake wa mabilioni ya fedha zilizofichwa nje ya nchi,je ataweza kuendeleza hayo mapambano akiwa nje ya chadema?(chukulia mfano akatangaza kuhamia ccm).
  6. U

    Maandamano yanayoendelea Kigoma ni salam tosha kwa madikteta CHADEMA

    kigoma ipi?maana mi niko kigoma hapa urusi sijayaona hayo maandamano,
  7. U

    Highway engineering technician.

    Nahitaji civil engineering technician (highway engineering)kwa muda wa mwezi 2 haraka sana.mshahara na mambo mengine tutazungumza,ila awe tayari kukaa site kwa muda wote wa project,awe na leseni ya udereva,umri wowote ila asiwe mzee saaana,uzoefu unahitajika ,asiwe mlevi kupindukia(maana...
  8. U

    Leonardo Da-Vinci

    Mambo yaliofunuliwa ni yetu,na yaliyofichwa (ya siri)ni ya mungu
  9. U

    CCM wazindua Baraza la Ushauri la wazee wa chama

    Hawa wazee (hasa marais)wastaafu waliwatumikia watanzania wote bila kujli itikadi zao za kisiasa,sasa ccm ikitolewa madarakani hawaoni kuwa watapoteza heshima na mwelekeo
  10. U

    Mwema kung'atuka?

    Damu nyingi sana ya watu waliouawawa na JESHI LA POLISI bila hatia itaendelea kudaiwa mikononi mwake SAID MBAYA,hasa MIGODINI kama Northmara,Chacha Ngoka,Clever na wengineo wako kuzimu ,they are waiting for you IGP SAID MWEMA.
  11. U

    Majambazi yalio mpiga risasi mwanafunzi wa mwaka wa nne sheria UDSM yakamatwa

    majambazi ,vibaka,wahalifu wote kaeni mkijua kuwa sasa hivi hapo kinondoni RPC wa mkoa WAMBURA ni moto wa kuotea mbali kwenye issue za intelenjensia so ,acheni la sivyo itakula kwenu kila siku
  12. U

    Dada senso na majibu ya polisi

    22.Ripoti mabovu ya Mbagala /Gongo la mboto 23.Ripoti ya uchunguzi ya Askari yule aliyejiua kule Tarime kwa kuupotosha msafara wa JK
  13. U

    Madalali wa ardhi North Mara

    Kuna tetesi kwamba vigogo kadhaa serikalini wanataka wachukue eneo linalozunguka mgodi wa northmara vitongoji vya murwambe,nyamichele,gokona ili walinunue kwa bei chee toka kwa wananchi husika halafu wao waliuze kwa bei kubwa ya kutisha mgodini,hao vigogo wameomba huo udalali mgodini baada ya...
  14. U

    Kwa wakandarasi na wajenzi mitambo inakodishwa.

    uko koa gani?au mtambo yako iko mkoa gani
  15. U

    Ole Sendeka,mbunge wa Simanjiro na Eng Chambiri,mbunge wa Babati 215 siombali sana na mtajuta

    wana babati imekula kwenu,kwa nini mlikulupuka kumchagua chambili?alikuwa mbunge wa tarime kwa miaka 15(1990-2005)hadi anashindwa na chacha wangwe alichangia bungeni mara moja tu,tena kuhusu kupanda kwa bei ya nyama dar es salaam,.
  16. U

    Mauaji yaliyofanywa na polisi Tarime

    Naomba kujua yale mauaji yaliyofanywa na jeshi la polisi tanzania kuua mtoto mdogo huko tarime akitokea dukani alikotumwa ,issue imeishaishaje?na ile ya polisi(traffic) kujiua kituoni hukohuko tarime ,kisa kakosea kuongoza msafara wa rais,haya mambo mbona hatuambiwi mwisho wake?
  17. U

    Malipo ya fidia

    Ndg wana jamvi naomba kwa mwenye uelewa wa mambo ya fidia ya ardhi anisaidie,nina Eneo langu lenye ukubwa wa Hector 1 ambalo nilipewa na baba yangu mwaka 1974,karibu na mgodi wa Northmara(tumeishi hapo toka mwaka 1890)mgodi unatakakuchukua eneo langu ili kupisha shughuli zao ,wameleta wathamini...
  18. U

    Jeshi la Polisi lamtendea unyama askari wake

    Mungu azidishe mapigo kwa jeshi la POLISI ,maana wameua mno wakazi wa Northmara
  19. U

    Nadharia ya Usalama wa Taifa (TISS) ibadilike kuanzia sasa, Taifa lipo hatarini

    Naomba kuelimishwa usalama wa taifa ni nini?
  20. U

    Natafuta wateja wa green tourmaline

    Naomba uni pm maana nafanya biashara hiyo
Back
Top Bottom