Search results

  1. W

    HOTUBA ya Seif Sharrif na Majibu yake kuhusu Maridhiano Zanzibar!

    Hizi sanamu zipo Zenji. Tena unajua zipo wapi???? Zipo ndani ya kanisa la Mkunazini. Ndani ya Misikiti hukuti vituko kama hivi. Sijui kulikuwa na ajenda gani baina ya Maaskofu/Wachungaji na Waengereza?
  2. W

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Mafuta ya Zanzibar ni ya wazanzibar au ya Watanganyika au ni ya Watanzania? Kwanza kabisa nikiwa ni mzanzibar napenda kuwapa hongera wabunge wetu wa Baraza la bunge na la wawakilishi kwa kuonesha msimamo wao kujali hali na maslahi ya wazanzibar wenyewe. Haya yote yanathibitika katika vikavyo...
  3. W

    Ccm Msipochunga Mtaiteketeza Nchi Yetu

    Hivyo viongozi waliopo madarakani wanachokifikilia ni kipi juu ya amani ya nchi yetu. Wanafikili kutumia mabavu na khofu ndio nguvu ya kuweka amani. Sivyo kabisa. Yote ni kuendelea kujenga uhasama na kuchukiana baina ya watanzania. Na ni hatali zaidi kwa kizazi kijacho. Hivyo ni pesa au madaraka...
  4. W

    US Election Coverage 2008

    bana unafikiri wazungu chicha watamuacha kaka yetu awatawale. Malekani asilimia 75 ya maraisi wameuwawa. Wote ni chicha, sasa fikilia ya Obama. Amewazidi ujanja lakini hapewi kitu. tutaona kama panya atamfunga paka kengere
Back
Top Bottom