Search results

  1. NeyB

    whatsapp immediate help plz

    Imekubali kudownload,sahv inafail kuverify phone number...natumia airtel number..what culd be the problem!?
  2. NeyB

    whatsapp immediate help plz

    Sony experia P,ile inbuilt whatsapp icon imetoka,haipo kabisaa,najaribu kudownload upya kwa playstore inaleta msg that an error occured in brackets(403)...cjajua wanamaanisha!nifanyeje niweze kuidownload upya niwe online kama mwanzo!!help plz
  3. NeyB

    Tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi: Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    habari,naomba msaada wa kitaalamu niweze kutatua tatizo la kutoka damu wakati wa kupiga mswaki,pia ni aina gani ya toothpaste nitumie kuondoa tatizo au kama mtu anafahamu professional hospital that naweza kwenda wakanisaidia...tatizo limeanza ghafla tu,naomba msaada jmn,naboreka sana...Thanks.
  4. NeyB

    Wish to get a lover, nimekua single and lonely for so long, imetosha sasa

    ...especially ukiwa ndani tu bila mwelekeo,aaagh!!...romantic my foot
  5. NeyB

    Wish to get a lover, nimekua single and lonely for so long, imetosha sasa

    ...hahaaa,haya bhanaa!waleta utani kwa serious issues eeeh!
  6. NeyB

    Wish to get a lover, nimekua single and lonely for so long, imetosha sasa

    ...ntaweka features tu,soon,me ni 'KE'...is it kuna mkaka anauliza au ni weweee!!!mmh..
  7. NeyB

    Wish to get a lover, nimekua single and lonely for so long, imetosha sasa

    ..hehee upweke wangu haujaanza jana jmn
  8. NeyB

    Wish to get a lover, nimekua single and lonely for so long, imetosha sasa

    Wish to get a true lover, nimekua single n lonely for so long...I think imetosha sasa na umri nao haunisubiri mimi, tatizo linakuja "who!?..mmmh!
  9. NeyB

    Watafuta kazi fursa hii hapa

    Thank youu...sasa ngoja nianze kuconvice wenzangu...na hizo kazi za udereva serikalini or else tunazipatajee!?atleast tupe mwanga kidogo?..
  10. NeyB

    10 Commandments For A Youth(guy) To Be Successful

    Lovely thought...thanks
  11. NeyB

    Nampenda kuliko mke wangu.

    ..unataka kuacha shilingi moja ya kila siku kwa laki moja ya kupita...ckushauri umwache au kumuumiza mkeo,she is already ur wife,mwache huyo mliesoma nae ili naye apate wake hafu aone uchungu wa kupendwa nusunusu kama wew unavotaka kumfanyia mkeo..
  12. NeyB

    Karibu tutete kinyakyusa..

    Nataman kujua kilugha changu cha kinyakyusa jaman,the bad thing is naskia tu kuitikia sasa kimbembe..sina bibi,babu nor aunties wakunifundisha basi naishia kudakia hicho hicho cha baba na mama wakiongea...kama leo najickia kweli kuongea kinyakyusa jmn ila dah!kujibu sasa ndo mbombo jilipo...
  13. NeyB

    Msaada tafadhali..

    thanks,haijawahi kunitokea ndo mana nimepata mawazo,but tangu jana nahisi dalili zote mpaka nkahisi ntakua nimeanza but kutoka ndo haitoki...
  14. NeyB

    Msaada tafadhali..

    but cjasafiri out of dar,nipo hapahapa dar muda wote since my last period...
  15. NeyB

    Msaada tafadhali..

    Mimi ni msichana,nimekua nikipata period vizuri tu na last month nlipata tarehe 1 dec, ila mpaka leo cjapata period n mzunguko wangu ni wa siku 28 na kwa mwezi wote huu sijakutana na mwanaume kabisaa,cjui tatizo ni nini hapo,naomba msaada tafadhali...
  16. NeyB

    Nahitaji chumba cha kupanga-kijitonyama au Makumbusho

    Habari wana jamii wenzangu!? Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Kijitonyam au Makumbusho. VIGEZO: 1.chumba na sebule na choo ndani,ikiwa na kispace cha jiko ntafurah zaid 2.kiwe ndani ya geti/uzio, kisiwe na wapangaji wengi sana 3.kuwe na maji 4.kisiwe uswahilini sana 5.kikiwa karibu na...
  17. NeyB

    Re: Research assistant post data aid

    Ple sana mtoa uzi...mim pia nliomba but walivontumia email ya kutoa 10,000 kwanza kwa M-PESA nkaona uzushi huo...nkawatupa kulee..hamna ofisi wala nini,utawakamatia wapi..itc jus number ya simu of which akishapokea hizo pesa anaicancel humpati tena huyo Director wao..Imagine Director mzimaa...
  18. NeyB

    Msaada plz..

    Nimewashtukia mwenzangu...akhuuuu
  19. NeyB

    Msaada plz..

    Naomba nsaidiwe ktk hili,binafsi yng halijawah kunikuta since nianze kuomba kazi na kufanya baadhi ya tempo jobs..ni hivi: Recently kuna kazi ya research assistant ktk NGO moja hapa dsm which is US funded:nimeapply jana,leo nimepata email ya job description,muda wa project yote,payments na kila...
Back
Top Bottom