Search results

  1. Afroshirazy

    Hussein Mwinyi awaibia Watanzania

    AliHassan Mwinyi (born May 8, 1925,Kivure, Coast Region, Tanzania) is a Tanzanianpolitician.[1]He was the second President of the UnitedRepublic of Tanzania from 1985 to 1995.[1]Previous posts include Interior Minister and Vice President.[1]He also was chairman of the ruling party, the Chama Cha...
  2. Afroshirazy

    Sababu za kuhitaji muungano wa mkataba Tanzania

    MFUMOMPYA WA MUUNGANO WA MKATABA: Kamanilivyotangulia kueleza, tumedumu na Muungano wa Katiba kwa miaka 49 ambaopamoja na mafanikio ya kuziweka nchi zetu mbili pamoja katika kipindi chote hicho,bado umeshindwa kutujengea kuaminiana kwa dhati na zaidi umeshindwa kuyatatuamatatizo ya msingi...
  3. Afroshirazy

    Karume atengwa, picha zake zachanwa Z’bar

    Nyerere alithubutu kumwita Kolimba na Malecela kama ni wahuni, kwahiyo Uhuni umejaa CCM na kwa kweli kama tutaendelea kuwa ndani ya utawala wao tujuwe nikuzama na wahuni hao wapo tayari kufanya lolote lile almuradi kupata maslahi yao, ikiwa kuuwa, kuiba, kufitini liwe lolote lile baya, muhimu...
  4. Afroshirazy

    Hotuba ya Karume ndiyo thabiti zaidi na yenye manufaa kwa CCM ya leo na kesho!

    Mambo matatu niliyoyaona ni ya muhimu sana katika hutuba ya Rais Mstaafu wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM (Zanzibar), Mhe. Amani Abeid Karume pamoja na mengi mengi haya mie nimpigia saluti: (1) MARIDHIANO: Hali ya kisiasa ambapo alimuunga mkono Rais Kikwete kuwa bado ipo haja...
  5. Afroshirazy

    Tundu Lissu: Rais atengue uteuzi wa majaji haraka iwezekanavyo!

    Naomba kujua endapo rais akimchagua jaji wa mahakama kuu au ya rufaa, akamuapisha kushika hiyo nafasi katiba ya nchi inasemaje kuhusu kuondoshwa kwa jaji huyo. Nafikiri ni busara kujua hili kabla ya kusema tu rais awaondoe hao majaji.
  6. Afroshirazy

    Khamis Sadifa Juma: Mwenyekiti UVCCM TUJULISHANE WASIFU WAKE

    mkuu huyu jamaa ni mbunge wa bunge la jamhuri la muungano kupitia jimbo la donge sasa nakushauri uangalie cv yake kwenye website ya bunge
Back
Top Bottom