Search results

  1. J

    Matokeo/mshindi wa miss cht-chat november,huyu hapa

    by jingle:hi ciello!mbona kimya!swali ya mkuu limekuwa gumu au umesinzia!
  2. J

    chelsea vs man u

    wataalam wa soka,imekaaje hiyo!manake man u wana hazina kubwa ya wachezaji waliopata muda wa kutosha wa kumpumzika tofauti na chelsea!
  3. J

    Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

    by jingle:kwa kawaida imezoeleka'inapotoka mishahara hususani ya walim huwa inatoka moja kwa moja lakini kwa sasa benk ya NMB wilaya ya bukombe mkoa mpya wa geita imesimamisha zoez hilo baada ya walim walipokwenda kudraw pesa zao,wingine wamepata robo ya mishahara yao wengine hawakupata...
  4. J

    Nimfanyeje mtu huyo

    by jingle:kaka ww sio wa kwanza kuumizwa na hawa viumbe waliopo vyuoni!mm ni mmoja wa waathirika wa jambo hilo!nusra nipatwe na wenda wazimu!siyo kesi chukua muda kulifikiria hilo.that's what life goes!
  5. J

    sitaki kumpoteza pia nahisi hana muda wa kutosha!

    yawezekana uko sahihi ni nn mchango wako kuokoa jahazi!
  6. J

    sitaki kumpoteza pia nahisi hana muda wa kutosha!

    yawezekana uko sahihi ni nn mchango wako kuokoa jahazi!
  7. J

    sitaki kumpoteza pia nahisi hana muda wa kutosha!

    niko kwenye kampun ya mikopo!kila mwisho wa mwezi naandaa form za marejesho.
  8. J

    sitaki kumpoteza pia nahisi hana muda wa kutosha!

    niko kwenye kampun ya mikopo,huwa naandaa form za marejesho ya mikopo.asante
  9. J

    sitaki kumpoteza pia nahisi hana muda wa kutosha!

    kama miezi 9iliyopita. nilikuwa namsihi anambie tatizo ni nn ili kosa nililomfanyia nisije kulitenda kwa mtu mwingine.
  10. J

    sitaki kumpoteza pia nahisi hana muda wa kutosha!

    by jingle:ciello nahisi ni muda muafaka,umri unasonga ati,sitaki mtoto wa uzeeni.si unajua tena kuanzisha familia siyo mchezo!watoto wapate elim na mambo mengine muhim.
  11. J

    sitaki kumpoteza pia nahisi hana muda wa kutosha!

    Hi!nimewahi kutoa mada kuhusu aliyekuwa mchumba wangu,ambaye ni mwana chuo kunitosa!nahisi yuko ktk mahusiano mapya kwa sasa baada ya kuniweka waz kuwa hanihitaji, kwa sasa ana mtu anayempenda kuliko alivyonipenda mm bila ya kujali tumedum ktk mahusiano kwa muda gani!nilimvumilia kwa kiasi...
  12. J

    Natafuta boyfriend awezaye kuwa mume

    By jingle:- mie nahitaji mchumba atakae kuwa mke!kwabahati mbaya ww unamwitaji boyfriend
  13. J

    Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

    sory ciello naomba addres yako kama hutojali!au further contct
  14. J

    Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

    nikweli ciello,anase,she don't feel it!nikimuuliza nn?anasema hajui!why she is running around the bush?
  15. J

    Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

    thanx ciello,sikupenda kuwa na gf then baadae nije kumtafuta mtu wa kumuoa!nilidhani hatobadilika!nilidhani atakuwa na sifa za kuitwa mama hapo baadae,kama tu kwenye sim anajibu ovyo je ana kwa ana itakuaje,sitaki kujidhalilisha.
  16. J

    Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

    nikweli Autorun,nikweli mawasiliano nimuhim sana,nimejitahidi kufanya hivyo kwa asilimia 100 bila mafanikio!mbaya zaidi ananijibu shortcut then anakata sim!mimi ni muhitim wa chuo tayari nishaanza kazi ktk kampun ya mtu binafsi,pia huwa namuwezesha pale anapohitaji msaada wangu,matibabu na...
  17. J

    Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

    unajua nn kichwat?wazaz wangu wanamkubali sana huyu msicha!nimejaribu kuwaeleza mapungufu yake hawanielewi!
Back
Top Bottom