Search results

  1. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man u,nawaaminia,bonge la timu
  2. M

    Makamba Yuko Mahutihuti India

    Sijui ni kwa muda gani tutaendelea kujiaibisha,kwa kutibiwa nje kwa gharama kubwa.Ni saa ya ukombozi
  3. M

    Daudi Ballali's Death

    Tumeliwa,ni pigo kubwa kumpoteza Balali,maana alikuwa shahidi muhimu kwenye ufisadi,nasikitika si kwa kifo,bali kwa siri nzito aliyokufa nayo.Narudia tena siwezi kumlilia Balali,maana madhara ya ufisadi alioshiriki ni makubwa sana,nalia kwa kutokunyongwa kwake na kufa kifo alichokufa,stahili ya...
  4. M

    Kupungua kina Ziwa Viktoria Uganda ina hisa

    Juhudi za pamoja, lazima zifanyike kuliokoa ziwa Viktoria.La msingi chanzo kimashajulikana so is a matter of taking a critical decision
  5. M

    Daudi Ballali's Death

    Nasikitika sana,si kwa kufa Balali,bali kwa jinsi alivyokufa na siri za pesa za walalahoi wa nchi hii.Nasikitika sana kwa Balali kufa bila kutaja nani alihusika na ufisadi wote wa BOT,ni masikitiko sana,alikuwa shahidi muhimu kwa musitakabali wa mali zetu,
  6. M

    JK ataka Afrika iandikwe vizuri

    Kikwete amefilisika,kifikra.Ni aina ya kiongozi wa karne ya 18,hana jipya zaidi ya bla bla.
  7. M

    Madhara ya 'Mlango wa dharura' ni yapi?

    mlango wa nyuma nao ni ufisadi wa mwili wa binadamu.Na ni kufikia kiwango cha juu kabisa cha ufisadi
  8. M

    CUF zaidi kukamatwa

    Hii ni jinsi gani serikali ya awamu ya nne,imeprove failur.Kuwakamata wapemba si suluhu,ya wao kutaka kujitenga,bali ni kuongeza tatio juu ya tatizo.Busara na hekima ndio mda mwafaka kwa viongozi kuonyesha,na sio kutumia nguvu for nothing
  9. M

    Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    Ronaldo kifaa kweli kweli,as why madrid wko tayari kuvunja bank
Back
Top Bottom