Search results

  1. Mr. Politician

    Bucha La kitimoto

    Huko Ni kwenye mabucha Au Ni zile zimeshaandaliwa?
  2. Mr. Politician

    Bucha La kitimoto

    Habari ya jumapili wadau, Naomba kujuzwa wanapochinja/uza nyama ya nguruwe/kitimoto Hapa Dar es salaam hasa wilaya ya Kinondoni. Najua supermarket zinapatikana Ila bei zao ziko juu Na inakua imekaa muda mrefu.
  3. Mr. Politician

    Hawa ni chura wa aina gani?

    Utakua umejaaaliwa
  4. Mr. Politician

    Naomba kuuliza kuhusu hawa mbu wa sasa

    Watu wa mikoani mna wivu sana
  5. Mr. Politician

    Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

    Si wabunge wanatafuta kwanza hela halafu Ndio waje kuzitumia kutatua changamoto
  6. Mr. Politician

    Joshua Nassari wacha hadaa kwenye media

    Nafikiri Kama halmashauri imeweza kujadiliana Na mmiliki Hadi akakubali kuhama bila vurugu Ni jambo la sifa. Suala la viongozi wa halmashauri kwenda kubomoa inaweza kuwa Sawa Na sherehe ya ufunguzi wa jengo au barabara
  7. Mr. Politician

    DC Hapi atembelea ghafla hospitali ya Mwananyamala usiku

    Halafu Hata asingehangaika kujificha Nina uhakika manesi Na madokta wa mwananyamala Hata hawamfahamu Kwa sura
  8. Mr. Politician

    Nahitaji tv inch 21

    Njoo uchukue HITACHI
  9. Mr. Politician

    nyumba inauzwa Survey ya mlalakuwa

    Mweh Ntyumba ya Vyumba vitano ndani ya eneo la sqm 160 na zinaingia gari tano..... Nataka kuja kujionea maajabu
  10. Mr. Politician

    selling xperia arc s

    300k unachukua?
  11. Mr. Politician

    TBC: Huduma hospital Dar zaendelea kuimarika

    Serikali ndiyo iliyoanzisha mgoma kwa kugomea maboresho katika sekta ya afya. Kinachotokea kwa madaktari ni wao kushindwa kufanya kazi kutokana na mgomo wa serikali. HUDUMA BORA TUTAZIPATA SERIKALI IKIACHA MGOMO
  12. Mr. Politician

    SUBARU FORESTER KALIIIIII....Inauzwa

    Tukaunywee mpunga huo sasa
  13. Mr. Politician

    Kampuni za Blandina Nyoni zinavyofanya ufisadi serikalini

    Pia kuna tender moja imepitishwa kihuni huni ya kufunga gps tracking system kwenye gari za wizara... utekelezaji wake unasuasua hadi leo, kampuni inayohusika na ufungaji wa hivyo vifaa ndugu (kaka) yake Jakaya na Salma (inasemekana Shangazi) wanauhusiano nayo
  14. Mr. Politician

    Chadema yaamua kutimkia mikoani kutimua vumbi la mchakato wa katiba mpya

    Umeshindwa kuwaelewa ndugu yangu.. Kama wangefanya mikutano na maandamano kabla ya kukubaliana na JK polisi wangesababisha vurugu halaf wangwalaumu CHADEMA ni wapenda vurugu. Ila kwa sasa hivi wamesainishana na Rais kuwa atapokea maoni kutoka kwa wadau mbali mbali katika kuuboresha, sasa hapo...
  15. Mr. Politician

    Simu za Sony Erricsson..

    xperia x10 ndio zipo mjini. Nenda maduka ya zain na tigo pale mlimani city
  16. Mr. Politician

    Nape kadhihirisha uongo wake Dodoma leo

    Mkuu waliopo Apollo wanafahamika unamaanisha yupi?
  17. Mr. Politician

    Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa

    CHADEMA wa Lissu hawajasema wanataka kuvunja Muungano, ila Zanzibar kwenye muungano inachukuliwa kama mtoto wa mama anavyolelewa hata wakifanya kosa linalohatarisha muungano inabidi tuwaache tu... Kuna mambo mengi sana ya kuweka sawa kwenye huu Muungano hasa kwa sasa tukiwa tumeshakua pamoja kwa...
Back
Top Bottom