Search results

  1. namanyele

    Kampuni ya MeTL "Mo Dewji" yakanusha habari ya kufunga Viwanda vyake tarehe 20 Oct 2018

    Wiki sasa bado Mo hajapatikana mpaka muda huu. Taratibu tumeanza kumsahau Mo
  2. namanyele

    Makonda ana nafasi kubwa ya kumpata Mo alipo

    Sijui huko alipo Mo wanamuhoji tu au wanamtesa, au wamesha mdedisha
  3. namanyele

    Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Kuwa makini mkuu na kauli zako hizo, utajikuta mikononi mwa polisi
  4. namanyele

    TPL: Simba SC vs African Lyon - October 6, 2018

    Mbona Ajibu ni fundi kuliko hata kichuya wenu anayeanza kikosi cha kwanza thimba, mpaka msemaji wenu manara anashangaa kwanini Ajibu haitwi timu ya taifa ?
  5. namanyele

    TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

    Hahahahahahahahahahahah
  6. namanyele

    TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

    Ila kwa mpira wa mipasho mikia fc mko vizuri, naona mmekula tuition ya nguvu toka kwa Haji Manara
  7. namanyele

    TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

    Hizo goli 3 zilisaidia timu yake ?,
  8. namanyele

    TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

    Yanga sc 3 Mikia fc 1
  9. namanyele

    TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

    Dhahiri shahiri serikali Leo itaingia hasara ya kununua vitu vingine uwanja wa taifa, mikia fc lazima watang'oa Vito kama kawaida yao pale makambo na tambwe watakavyo Fanya yao
  10. namanyele

    TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

    Kuna msemo unasema ukiona manyoya ujue tayari keshaliwa huyo. Naona minyoya hiyo shingoni
  11. namanyele

    Mwadui FC Vs Simba SC

    Mmekutana na litimu la kingese
  12. namanyele

    Mwadui FC Vs Simba SC

    Kwa huu mpira anaocheza thimba hakuna kitu mkuu, mwadui sio kipimo cha kumfunga Yanga
  13. namanyele

    Mwadui FC Vs Simba SC

    Mwadui wabovu tu, wakikutana na Yanga HT tu goli 6
  14. namanyele

    Mwadui FC Vs Simba SC

    Ma Magoli yenyewe mnafunga kimagumashi sana, hizo 6 cjui mtamfunga nani
  15. namanyele

    Mwadui FC Vs Simba SC

    VP manara anaendeleaje na tumbo ?
  16. namanyele

    Mwadui FC Vs Simba SC

    Mechi tamu ni Yanga na Alizeti
  17. namanyele

    Mwadui FC Vs Simba SC

    Leo mtashinda tu kwani mwadui wepesi sana
  18. namanyele

    Mrejesho: Msaada nimeokota kitu sikijui part2

    Mkuu hill ni Bomu lililokuwa likitumia vita vya pili vya dunia, ni aina ya mabomu ya anolojia. Ni sawa na aina flani ya volcano ambayo ni mfu lakini inaweza kulipuka muda wowote baada ya kukaa muda mrefu bila kulipuka. Nakushauri kakitupe getini kwenye kambi za jwtz
  19. namanyele

    Yanga leo watafungwa 4-0

    Bora aliyetolewa na singida, kuliko mikia fc ilitolewa na timu daraja la 3, Green warrios
Back
Top Bottom