Search results

  1. S

    kiwanja kilichopiwa kinauzwa Korogwe Tanga

    Ongeza kidogo hutajuta
  2. S

    kiwanja kilichopiwa kinauzwa Korogwe Tanga

    Ninauza kiwanja kilichopimwa na Halmashauri ya mji wa korogwe Tanga. Maelezo kuhusu kiwanja ni kama ifuatavyo: Sehemu/ Mahali: Katika halmashauri ya mji wa korogwe, eneo la chifu Kimweri, (Wenyeji wanapaita majani mapana). Eneo lipo karibu na shule ya secondary ya chifu Kimweri, Mkabala na mji...
  3. S

    Shamba linauzwa, lipo Arusha

    maelezo hayajitoshelezi. weka location, ukubwa, bei nk
  4. S

    Kikwete afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa: Mulongo ahamishiwa Mwanza; Masawe wa Kagera aondolewa!

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine. Taarifa iliyotolewa mjini Dodoma jioni ya leo, Jumatano...
  5. S

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Wadau ninauza machine ya kutotoleshea mayai (Eggs incubator) yenye uwezo wa mayai 84. Nimeitumia kwa muda wa miezi sita. Nili agiza kutoka south Africa. Ni machine nzuri iliyoonyesha performance ya hali ya juu mara ya mwisho nilitoa vifaranga 75 kati ya 84. Sababu ya kuiuza, biashara imekuwa...
  6. S

    Kwa wanaohitaji fursa ya kujiongezea kipato jaribuni hii

    Kuhusu kiasi ninachopata hiyo ni personal. mimi nimejaribu tu kuwashirikisha wenzangu. kwa anayetaka kujaribu kumbuka kipato kitatokana na juhudi za mtu binafsi. hakuna formula kuwa unapata ngapi
  7. S

    Kwa wanaohitaji fursa ya kujiongezea kipato jaribuni hii

    Hi members Ninaomba ku share na nyie pamoja hii kitu. Kwa muda mrefu nilikuwa ninajaribu kutumia muda wangu mwingi wa ziada kujaribu kujiongezea kipato kwa kutumia internet (home business) sikufanikiwa matokeo yake ni mekutana na website nyingi ambazo zinakutaka kuwa na kiingilio cha kuanzia $25...
  8. S

    Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

    Hivi umeshawahi kukaa chini na kujiuliza ni watanzania wangapi ni masikini wa kutupwa sababu tu hawakusoma? anzia na kijijini kwako. sidhani kama ukipewa muda wa kuwaorodhesha utaweza kufanya hivyo kama ulivyofanya kwa hao matajiri. Jaribu tena kujiuliza ni watanzania wangapi waliopata elimu...
  9. S

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Nimejaribu kufuatilia hizo machine kwa muda mrefu sana. tatizo kubwa ya mashine za hapa bongo na china zina uwezo mdogo sana wa kuangua. sido kuna machine za Imberuzi lakini nina reference ya machine zao zaidi ya nne hazifanyi kazi na wahusika hawatoi msaada wowote. kuna kampuni moja ya south...
  10. S

    Tecno n70 na Tecno n3...

    mimi natafuta tecno f8 yeyote alienayo ani pm
  11. S

    Kuhusu Laboratory technology

    Nenda Arusha Technical College (ATC) ARUSHA TECHNICAL COLLEGE : Skills make the difference, pale utafanya mtihani wa mature age entry au utafanya pre-entry (acces) course
  12. S

    Pendekezo: Sikukuu zinazoangukia siku za kazi zifutwe

    jaribu kufikiria upya, ninaunga mkono sikukuu zote zisizo za kidini zifutwe, iachwe ya uhuru tu
Back
Top Bottom