Search results

  1. C

    Rais Samia analazimisha kuizanzibarisha Tanganyika kwa nguvu

    Kichwa panzi wasukuma wanataka nchi gani? Wazanzibar wanatoka nchi ya jirani Zanzibar
  2. C

    Mwana CCM Kindakindaki "2025 Tutashinda Kwa Asilimia 90%, Wapinzani Tutawaachia 10% "

    Kura zipigwe na wananchi percentage ya ushindi ipangwe na mshiriki? Unavutaga nini kwani?
  3. C

    Waziri Mchengerwa mtume Naibu Waziri wako Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

    Mpumbavu wewe peke yako elewa mada au kaa kimya kuficha upumbavu wako. Unaona ni sawa hawa wanaonyimwa haki zao hadi mfumo ubadilike?
  4. C

    Waziri Mchengerwa mtume Naibu Waziri wako Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

    Mheshimiwa waziri agizo lako la kumtuma naibu waziri kutembelea Halmashauri ambazo wakurugenzi hawajawalipa hela za kujikimu waajiriwa wapya halistahili Tu pongezi Bali na kuungwa mkono pia. Ila hapa nimetembelea wailayani Kilwa kwenye hospital ya Kinyonga nimekutana na malalamiko ambayo pia...
  5. C

    Wananchi wamewapuuza wapinzani wa Samia. 2025 hata CCM wasipofanya kampeni Samia atashinda kwa kishindo

    Na wewe nawe eti sasa umeibuka hujulikani ni CCM au ni mpinzani, alipokuwa rais Magufuli mkristo ukaingia mitini kaja muislamu umeibuka, pathetic
  6. C

    Kumtukana Rais Samia hadharani ni uhaini

    Upumbavu wa kiwango cha lami kwa mtu mwenye low iq, Magufuli alipokuwa anakosolewa ilikuwa kwa sababu ya dini yake? Chawa ifike mahali mfundishwe kujibu hoja siyo upambe
  7. C

    Kichaka cha viongozi wa Chadema kukwepa majukumu yao

    Umevuta cha arusha asubuhi yoote hii au umeamka nazo? Tupe ushahidi wa upuuzi wako
  8. C

    Mkurugenzi mmoja mkoani Mara awapuuuza viongozi wa Mwenge na itifaki yake

    Mwenge faida kubwa ni uzinzi tu hakuna kingine
  9. C

    Rais Samia afanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali

    Kama walikuwepo kwenye uchaguzi wa 2020 na wakawapitisha wagombea wa CCM na kuwakata wapinzani wakaharibu uchaguzi ilikuwa ni kufanya kazi ya umma? Upumbavu pro max
  10. C

    Rais Samia afanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali

    Sijui hayo maridhiano yaliyofanyika kwa muda mrefu na tume ya uchaguzi ikiwa inalalamikiwa mno na wapinzani haya ndio majibu yake. Naona kama wanavyosema watoto wa mjini, mwenyekiti wa CCM kaamua kuwakamulia ndimu au kuwatia chumvi kwenye kidonda. Hapo ndipo mtakapojua uovu wa CCM
  11. C

    Rais Samia afanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali

    Tatizo ukipigia kura CHADEMA hao walioteuliwa ndio waliotangaza kura kwa CCM. Kumbuka hao ndio waliowapitisha wagombea wa CCM bila kupingwa Kwa kuwaengua CHADEMA na wapinzani wengine
  12. C

    Bado kuna mambo yanahitajika ili kumuenzi kwa dhati hayati Magufuli na wazalendo wengine

    Unajua wapumbavu hawawezi kujificha na wewe ukiwemo. Alipouliwa Akwilina pale kinondoni kulikuwa na wagombania uenyekiti? Simon Kanguye alikuwa anagombania uenyekiti? Kazi ya polisi na vyombo vya usalama ni nini kama siyo ulinzi wa raia na mali zao? Ni hatua gani zilichukuliwa na vyombo vya...
  13. C

    Bado kuna mambo yanahitajika ili kumuenzi kwa dhati hayati Magufuli na wazalendo wengine

    Kabla ya kusapoti upumbavu huu hebu niweke vizuri hapa. Kutumia rasilimali za taifa bila kibali cha bunge wala sheria na taratibu za nchi kama za kutangaza tenda za ujenzi wa uwanja wa ndege kijijini kwake, kumpa tenda hiyo mshikaji wake ni dalili za uzalendo au uhayawani? Kabla sijaendelea na...
  14. C

    Maoni tofauti Rais Samia akiteua Vigogo wapya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

    Hoja kubwa ya wakosoaji ni jinsi tume hii hii ikiwa na watendaji hawa ilivyoharibu uchaguzi wa 2020. Tukiwa tunaelekea 2024 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na 2025 kwenye uchaguzi mkuu kuwarudisha walewale walioharibu inaweza ikaleta tafsiri ya matayarisho ya uporaji wa uchaguzi tena...
  15. C

    Rais Samia na Feitoto imejengwa precedence gani?

    Hoja hupingwa kwa hoja siyo viroja
  16. C

    Rais Samia na Feitoto imejengwa precedence gani?

    Kwa heshima kubwa nakusalimu mama yetu Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania, nakupa pongezi kwa mambo makubwa unayoyafanya kwa maslahi ya taifa hili. Mama mpira wa miguu sehemu nyingi duniani umefanikiwa kuleta maridhiano, upendo na umoja hata kama kulikuwa na vita mfano Liberia...
  17. C

    Umoja Party Wapinzani halisi kutoka jikoni, je Wataweza Kulamba shubiri badala ya Asali?

    Kwa hiyo kauli za mwalimu Nyerere kwako ni msahafu?
  18. C

    Umoja Party Wapinzani halisi kutoka jikoni, je Wataweza Kulamba shubiri badala ya Asali?

    Mbwa kazi yake ya kwanza ni kubweka ili kumfurahisha bosi wake, majibwa ya CCM yameanzakubweka tena. Hadi sasa geopolitical scenery nchini inaonyesha kwenye issue muhimu ni CHADEMA ambayo CCM walishirikiana kuleta maridhiano. Kesi za kisiasa, kuzuiwa kwa kazi za kisiasa, na kurudishwa kwa...
Back
Top Bottom