Search results

  1. F

    Binti yangu na housegirl nani anihudumie.

    Familia yangu wote wamesafiri,nimebaki nyumbani na binti yangu (19 yrs) na house girl wangu (19yrs).Usiku nimepata dharula ya kiafya nikiwa bafuni chumbani kwangu naoga, na ninahitaji msaada wa haraka sana,nasita nimwite nani kati ya hao kuja kunihudumia.naomba ushauri.
  2. F

    Napata hamu ya tendo la ndoa lakini nikikaribia naishiwa nguvu ya kuendelea

    Asante sana ,ushauri wako ni wa msingi sana.
  3. F

    Napata hamu ya tendo la ndoa lakini nikikaribia naishiwa nguvu ya kuendelea

    Amepiga sn kabla hajaoa na akiwa masomoni miaka 15 ilopita.
  4. F

    Napata hamu ya tendo la ndoa lakini nikikaribia naishiwa nguvu ya kuendelea

    Hana presure wala kisukari,ana umbile la kawaida kama kilo 80. Ni mwnwsheria haimchoshi sana,ana madeni anayolipa kwa shida,na mkate wake wa siku ana mudu ingawa haulingani na hadhi yake..Mkewe hushutumu sana kuwa ana mahawala,ingawa yeye anasema hana.cha ziada amewahi kufanya musterbation sana...
  5. F

    Nimeshindwa kuacha kumsaliti mke wangu

    Sasa geuza kibao,jinsi unavofurahia penzi la hao wa nje,sasa chukulia utajisikiaje kama ni dume jingine ndo linamfaidi mke wako namna unavomfaidi wewe wa nje. Fanya kuvuta hisia hizo pale unapokua juu ya kifua cha huyo wa nje. Uchungu utakaoupata ni somo tosha kwako.
  6. F

    Napata hamu ya tendo la ndoa lakini nikikaribia naishiwa nguvu ya kuendelea

    Ninae anko wangu (48 yrs),ameoa na ana watoto4.Mwezi jana kanijia na tatizo la kindoa.Kila anapopata hamu ya tendo,uume husimama kwa shida,.unaposimama husinyaa wakati akiwa kwenye romance.Nimemshauri aende hospitali.Daktari kamwambia ni mawazo tu apunguze.Amfefanya hivo lakini tatizo...
  7. F

    Napata hamu ya tendo la ndoa lakini nikikaribia naishiwa nguvu ya kuendelea

    Ninaomba ushauri. Jana nimefuatwa na anko wangu(48 yrs) kwa ushauri wa kuokoa ndoa yake. Ameoa na watoto 4.Kila anapopata hamu ya tendo la ndoa uume wake husimama, lakini anapokua katika romance, unasinyaa, tatizo limejirudia mara kadhaa kwa miezi sasa. Anaogopa kutumia madawa asije...
  8. F

    Alex Ndeki (mzungu wetu) tumkumbuke

    Du ubarikiew kunikumbusha mbali,igawa nimechelewa sana kuchangia hoja hii nyeti kwa wa tabora boys. Emanule Ndomba nilikutana nae idm mzumbe 1994,Nsato ni OC CID kondoa.hamisi makala ni hakimu dodoma,Dendula mpwapwa,Mwl shendu head master dodoma bush,kitemangu(mlami) alistaafu,yule kota...
  9. F

    Wanawake na wanaume kutofautiana mwandiko,nini sababu.

    Nimekuwa nikijiuliza muda mrefu bila majibu sahihi,kwa nini mwandiko wa wanawake hutofautiana na wa wanaume.Ukikuta maandiko mahala,ni rahisi tu kujua mwandishi ni mwanaume au mwanamke.Wote wanakaa darasa moja mwalimu mmoja,lakiniu wanawake wanafanana kuandika na wanaume halikadhalika.Kama kuna...
  10. F

    Kiongozi mmoja kutembelea gari ya zaidi ya tsh 300 milioni,tunakwenda wapi.

    Akifunga mkutano wa tisa wa Bunge mjini Dodoma,mhe waziri mkuu Pinda alisema thamani ya Toyota VX 8 moja ni zaidi ya tsh 300 milioni.Tujiulize yako magari mangapi ya aina hiyo Tanzania.Mawaziri wote,makatibu wakuu,wakuu wa mikoa,makamishna,nikitaja wachache,wote watumia mashangingi hayo,.Tangia...
  11. F

    Baada ya Fareed kujiteka na kisha kujirudisha kwake ukweli wabainika ya Mbagala

    Ubarikiwe ndg yangu,tutauwana tukijidai tunamtetea Mungu,halafu mwisho wa siku wote anatutupa jehanam ya moto.Binadamu hawezi kumtetea Mungu,ni yeye ndo hututea sisi.
  12. F

    Tutafute msuluhishi wa mgogoro wa kidini nje ya nchi,wenyewe hatuna msafi.

    Hivi karibuni tumeshuhudia upepo mbaya wa mahusiano ya kidini kufuatia kukojolewa kwa msahafu wa waislamu na kisha kuchomwa moto makanisa na mali zingine kuharibiwa.Kilichofuatia baada ya tukio hilo ni kauli nzito za kimsimamo zilizotolewa na pande mbili zinazohasimiana,waislamuj na...
Back
Top Bottom