Mkuu nishachoka wacha tuu
Mi client aliniona sifanyi kazi bana nikampa password na account yangu nikamwambia haya mama kazi yako hiyo hapo wasiliana na Brela
Ana mwezi mpaka sasa hivi tatizo lile lile anatuma docs zinaenda zinamaliza wiki mbili zinarudi badilisha hapa weka hiki ambacho tayari...
Kusajili kampuni kwa sasa Brela ni mtihani
Kwanza kitambulisho cha NIDA ambacho nacho ni mtihani kukipata
Pili mpaka uje umalize process nzima ya Memart na kuupload documents na jina likubaliwe ushamaliza miezi kadhaa
Wakati kipindi cha zamani one week ushafanya search ya jina na ushasaini...
Kabisa mkuu
Niliuliza hao IT wao wanafanya nini kama tatizo dogo tuu la kufuta account iliyokosewa mpata IT atoke nje
Na kuna mmoja aliniambia kuwa yeye baada ya kupata shida kama hiyo walimwambia awasilishe docs manual wakamsaidia maana client wake alikuwa anaomba working permit na muda wake...
Mkuu ni balaa
Unaweza rudia the same docs hata mara kumi
Na tatizo hawakupi jibu kwa muda unaotaka ni mpaka wakae nazo hata wiki mbili au hata mwezi ndo wanakujibu ile doc uliyotuma ina makosa tafadhali rekebisha hiki na hiki
Na tatizo sasa docs zote wanazo badala wangeziweka kwenye system ili...
Hi i kitu inaitwa BRELA achana nayo kabisa
Nimefanya updates za kampuni ya mteja ni mwaka sasa hakuna kilichofanyika
Kila siku wanakurudishia Docs zako wanakuambia rekebisha hili au tuma hiki na hiki
Ukituma wanakaa wiki mbili kukujibu tena kuna hiki umesahau tunaomba ututumie au doc uliyotuma...
Asante sana aise
Ilikuwa pigo sana ila ndo hivyo lazima maisha yaendelee
mshana jr tena mbona atakuwa anakulaza makaburini kila siku au porini kwenda kutafuta dawa kila siku
Baba V salama mkuuu
nipo japo Marry Hunbig hajanitaja
Mamndenyi salama
Niko single aise nafasi haina mtu sijui nikuje tena kwako
Watu8 sijui kafichwa wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.