Search results

  1. M

    Bondia Mwakinyo hajui anachosimamia! Amegeuka Tena.

    Acheni wivu Mwakinyo ýko sahihi
  2. M

    Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

    Wabara wengi hawajui hata kuoga .Mabasi yakitoka bara yana harufu fulani mbaya
  3. M

    Ijue wilaya ya Rombo

    Wilaya michepuko mingi
  4. M

    Baba Mkwe wangu amemkatalia Mtoto wake kupanga nyumba ya marehemu mama

    Huyo mzee hiyo nyumba haimhusu kabisa.Kwanza ni aibu afukuzwe
  5. M

    Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    Kitu kilichonishtua ni kusikia kuwa Yesu hakuwA mkristo na pia Wayahudi wengi hawamfuati
  6. M

    Historia ya mkoa wa Tanga

    Ripoti hii ni fake mwandishi haujui vzr mkoa wa Tangs
  7. M

    Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

    Masai akiwa muislamu anaacha kuvaa lubega Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  8. M

    Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

    Kwenye msikiti wetu sadaka ikitolewa inahesabiwa hapohapo kinachopatikana huamuliwa na waumini nini cha kufanya k.m bill ya umeme maji nk.Kama kuna jambo kubwa la kufanya mskitini kila anaahidi kiasi atakachochangia kwa uwezo wake
  9. M

    Spidi ya wakinga kwenye biashara inatisha, tuna lipi la kujifunza?

    Hawa jamaa ni wachapa kazi,wavumilivu,hawana makuu,waaminifu ndio siri ya mafanikio yao
  10. M

    Ukimshitaki Mzigua mkapelekana hadi Mahakamani, uwezekano wa Kushinda kesi ni zero percent

    Zamani niliamini bara hakuna uchawi kumbe ndio wachawi wakubwa kushinda huku pwani ila kwa propaganda wametushinsa
Back
Top Bottom