Search results

  1. S

    Qwetu Fashion House

    A
  2. S

    Msaada wa field kwenye Bank yoyote

    Napapenda mkuu, wapi kuna nafac bro..
  3. S

    Msaada wa field kwenye Bank yoyote

    Wadau wa forum hii ni watu wa aina mbalimbali wafanyakazi, wastaafu, wasaka kazi n.k ombi langu sasa ni kwa mtu mwenye uwezo wa kuniunganisha (network) ya kupata field kwenye Benki yoyote hapa Tanzania. Kuomba kwangu msaada kunatokana na ugumu wa kupata field kwenye mabenki yaliyopo nchini...
  4. S

    Naombeni uchambuzi wa sampling TCC

    Sampling techniques applied by Tanzania Constitutional review to collect views from all over the country what are they? Naombeni uchambuzi please.
  5. S

    RAY C welcome back..uwafunike akina Recho

    Jamani huyu dada nampenda sana,her fantastic music,swagg but not how she behave.After she posted her pics on inst. i was like thanx God she is back,aliacha mashabiki wengi mno welcome back..tumuombee zaidi..
  6. S

    Pres. Obama to Visit South Africa, Tanzania, Rwanda, Considers Stopover in Nigeria

    Tetesi zilizopo ni kwamba 1 june Obama anatarajiwa kuwepo bongo Tanzania,kimsingi unadhani tutanufaika na ziara hiyo?
  7. S

    KTMA Hiyooooo.

    Fans wa music mtakuwa mmeona diff. categories za tuzo za kili pa1 na nomineez je unadhani wasanii au msanii gani hakutendewa haki kwa kutowekwa,au maoni yako ni yapi?
  8. S

    Diamond na Wema, Full drama!

    Nimeapload inagoma ila tafuta kwa blog gossipcop
  9. S

    Diamond na Wema, Full drama!

    Ila yote kwa yote hakuna ufalme wa milele.
  10. S

    Diamond na Wema, Full drama!

    Wewe kama fan wao unadhani baada ya Diamond kumrekodi Wema alipompigia simu na kusambaza kwenye social network unadhani ni suluhisho sahihi kwa Wema? audio clip hiyo imesikika Wema akimbembeleza Diamond warudiane.
  11. S

    Uchaguzi KENYA

    James Kiyiapi,Peter Keneth,Mwalimu(ARK),Martha,Mohamed,Uhuru Kenyata,Mudavada,Raila unadhani mshindi nani na kwanini?
  12. S

    Chizi na mata....k..o

    Mazima kabisa,atayapeleka wapi?
  13. S

    Kujamba ni nini in english plz!

    If u wan 2 shoot,shoot don talk!
  14. S

    Kujamba ni nini in english plz!

    Tena hao ndo balaa! wanapumua bila woga! pyuuuuu puuuu!
  15. S

    Lini mahakama kuu kusikiliza kesi ya lulu

    Ni muda gani mahakama kuu huckiliza kesi ya mauaji baada ya mahakama nyingine kufunga jalada,naamin humu kuna mawakil!!
  16. S

    Enzi za mwalimu

    Habari ya mujini!
  17. S

    Enzi za mwalimu

    A
Back
Top Bottom