Search results

  1. Z

    Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

    tatizo sio zawadi ila maana ya zawadi kwa anaekupatia zawadi hiyo,ninavyofahamu upanga hauna ishara ya amani hata kidogo,ningeelewa nia njema ya mwarabu yule kama angetoa zawadi ya tende au halua,basi japo kikoi kama chakula kinaharibika.
  2. Z

    Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

    sina amani kwa sababu sijui zamu ya kanisa langu kuchomwa moto na jamaa fulani wanaoitwa wahuni wakati si wahuni,ukiondoa tukio la mbagala,je zanzibar mwanza na kwingineko ilikojolewa quran?
  3. Z

    VURUGU DAR & ZENJ: Terrorism au Acts of Terror?

    padre hamtumi mgalatia kuchoma msikiti wala kukwapua vitu vya watu,tatizo magaidi wanatamani damu za watu hata mwanasheria wa shehena alipotaadhalisha magaidi wasiandame bado kiu ya damu ilikua kooni mwao,eti imamu mmoja mitaa ya magomeni alichezea bakora kisa kuwakataza magaidi wasiandamane,hii...
  4. Z

    Makanisa yavunje MoU na Serikali...

    INGEKUA VIPI KAMA ISINGEKUAPO NDANDA HOSP.NYANGAO HOSP,IFAKARA,PERAMIO,KITUO CHA AFYA MBAGALA(MBAGALA MISSION),BUGANDO HOSP.KCMC HOSP.....NA NYINGINEZO NISIZOFAHAMU, AU INGEKUA VIPI VYOTE NILIVYOTAJA VINGEKUA VINAUDUMIA WAKRISTO TU, ushauri wa bure ni kwamba,ukimuona jirani yako amevuna...
  5. Z

    Makanisa yavunje MoU na Serikali...

    ndugu unataka kusema bwana yusuf ni mkristo?
  6. Z

    Baada ya polisi kuzima maandamano ya waislamu "sporadic violence" is now imminent

    na zanzibar vinakojolewa vitabu,ni heri umfundishe mtu juu ya ubora wa imani yako kwa maisha unayoishi,lakini si kumtisha na nguvu za kitabu chako,amka ndugu yangu risasi,panga,jambia,kiwembe havichagui dini bali vinakula nyama yoyote.
Back
Top Bottom