Search results

  1. Nkundwe Somola

    DC Mnyeti: Nilichangia mchango wa harusi diwani aliyehamia CCM kama ambavyo nimekuwa nikiwasaidia madiwani wengi CHADEMA

    Kajiumbua yeye mwenyewe na raisi akimuacha tutamalizia kabisa anawapendelea baadhi ya watu. Na hapo ndio anguko lake juu laja. Maana baba Wa kweli huwa hapendelei baadhi ya watoto au akiwapendelea hao ndio baadae wanageuka kuwa wala unga baadae ambao hawatomsaidia na ndio hao hao watakaomwangusha.
  2. Nkundwe Somola

    DC Mnyeti: Nilichangia mchango wa harusi diwani aliyehamia CCM kama ambavyo nimekuwa nikiwasaidia madiwani wengi CHADEMA

    Mnyeti utakuwa na utindio Wa ubongo yaani unatuona watanzania ni mapuuuuuuunga si ndio. Kwani sisi hatujui kutofautisha pumba na mchele? Raisi akikuacheni tutaconclude.
  3. Nkundwe Somola

    Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    Yaani kila nikifikiria nione kama akili yako imepona huwa napata shida sana kukuamini. What do you mean kusema kila mtu? Yaani unajikakamua kuoongea uongo utachomwa moto siku ya mwisho kisa kumfurahisha mwanadamu. Biblia inasema amelaaniwa mtu amtegemeaye mwanadamu. Amfanyaye kuwa ngao yake.
  4. Nkundwe Somola

    Hello

    :typing: Nafurahi sana kujiunga na JF.
Back
Top Bottom