Search results

  1. paul milya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nani ananiulizia huku jamani!!!!
  2. paul milya

    Lipi lililowashinda CC ya CCM Kipindi cha JK?

    Haki ya Demokrasia imebakwa kwa nguvu zote na tume ya uchaguzi na wanafikiri ya kwamba Watanzania hawajatambua hili la ubakaji wa Demokrasia,wanawaaminishia Watanzania kelele ya hapa na pale bila ya kuwepo utendaji wowote wa haki Chondechonde na nawaambia ya kwamba Watanzania siyo kwamba...
  3. paul milya

    Ofisi za CCM Pemba zachomwa moto, CCM walaani hicho kitendo

    Natamani haki ionekane ila nahisi ni ngumu sana,ccm ni janga
  4. paul milya

    Lema ang'aka kuhusu Zanzibar, Amwambia Chenge asijione Mungu mdogo

    Kwa kweli Mh G Lema ni kati ya Mbunge nitakaye jivunia daima !
  5. paul milya

    Mwakyembe na ufisadi mabehewa feki

    Sijui kama atafanyiwa chochote!
  6. paul milya

    Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

    Awaombe Wanachadema radhi tutamchangia!
  7. paul milya

    UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    Mtazamo wangu kwa wito huu bila shaka ni habari njema kwa Watanzania..........................Viva CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. paul milya

    Mmiliki wa Tella Maande Hotel Arusha afariki ajalini

    Mkuu achana na huyo mjinga Ruttashobolwa mjinga tu!!!
  9. paul milya

    Arusha: Kinana, Nape awageuza CCM "Toys"

    Hawa Makamanda wako wapi jamani hapo Arusha? Tunapitwa na mengi mazuri yanayondelezwa na majangili huko kanda ya kaskazini Filipo Mzee wa Rula PakaJimmy sweetlandy Mungi Hawa member ni muhimu sana katika jukwaa hili Hilipendo tunashukuru kwa kutujuza hili.
  10. paul milya

    Arusha: Kinana, Nape awageuza CCM "Toys"

    Yaaani huyu kinana ni janga lingine kubwa ajabu!
  11. paul milya

    Live: Mkutano wa CHADEMA uwanja wa town School Tabora

    Mungu ibariki Chama cha Demokrasia na Maendeleo!!!✌✌✌✌✌✌✌
  12. paul milya

    Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    mawazo yako ni tofauti sana ni nilivyokufikiria!!!!
  13. paul milya

    Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    Ruttashobolwa una vituko wewe!! Teh teh tehhh!!!
  14. paul milya

    Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    Naona wewe ndiyo umekuja na drama! Mwaka huu yenu ngumu!!!
  15. paul milya

    Tundu Lissu kuundiwa Zengwe ili afukuzwe uanachama ndani ya CHADEMA

    ccm ni janga kubwa sana kwa Nchi yetu ila mwisho wake uleeeeee 2015..............wapende wasipende!
  16. paul milya

    Nassari kupokelewa kesho KIA kwa maandamano makubwa

    Ajabu ni kabla la mama yako na baba yako!
  17. paul milya

    Nassari kupokelewa kesho KIA kwa maandamano makubwa

    Copy kwa socrate jr
Back
Top Bottom