Search results

  1. D

    Natafuta nyumba ya kupanga Zanzibar

    Nitashukuru ukifanya hivyo
  2. D

    Natafuta nyumba ya kupanga Zanzibar

    Wadau wa Zanzibar kama mpo natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Michenzani, Kikwajuni, Mtendeni, Mlandege na Kilimani. Iwe na vyumba viwili ya kulala au vitatu. jiko na living room.
  3. D

    Kufunga ndoa au kuoana kabla ya tendo la ndoa!!

    Hivi nijauliza wale wanaoana na bado wako bikira itakuaje? Siku ile unaenda fungate na mume wako au mke wako mnaanza kwa mara ya kwanza. Unamvua mke wako chupi kwa mara ya kwanza na yeye anakuvua, mara bwana ana shughuli kama mhogo wa Jang'ombe na haupiti kwenye tundu yoyote. Au ana kibamia...
  4. D

    NECTA yatangaza Matokeo Kidacho cha Sita (ACSEE 2013)!

    Nashindwa kuwaelewa hawa NECTA Kwanini hizi results wasiziweke kwa Alphabet? Kutafuta shule mpaka ufanye kazi ya ziada. Ingekua rahisi kama natafuta Tabora boys ningekwenda kwenye "T" kuliko hii juu chini kushoto kulia.
  5. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Nilikua nimeondoka kama wiki nzima hivi. Nimeshindwa kupitia post zote. Swali langu je ile audio imeshawekwa?
  6. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Kwangu mimi hayajatosheleza kwani ni wewe uliyeahidi. Bado nasubiri ulichoahidi.
  7. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    No uliahidi audio ukasema itamuumbua Mohamed. Sie wengine twaisubiri kwa hamu ili umuumbue. Mpaka leo huna ulichoprovide bali kumpaisha Mohamed angani. Kama nilivyosema mwanzo nilikua simjui huyu mzee wala vitabu vyake ila umeniweka mdadisi nijue vitabu vyake zaidi.
  8. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Bado unadaiwa ule uthibitisho wa uchochezi wa Mohamed. Ahadi za audio umeziyeyusha mpaka leo.
  9. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Hata kama haijafika Top Ten lakini imebainisha baadhi ya kasuku na watu waliokwenda darasani. Leo naona umefundwa na wazee matusi umeyapunguza Nasubiri ukiandika au kuiboresha historia ya TANU. Na hata utaandika labda ukopi kwa Mohamed kwani kaweka mambo mengi uliyokua huyajui. Kuna mama...
  10. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Usiwaguse wazanzibari watakutoa macho! Kabla Nyerere hajaingia Zanzibar wazanzibari walikua wamepiga hatua kimaendeleo kushinda nchi zote za Afrika mashariki. Ndio wa kwanza kuwa na Train. Ndio wa kwanza kuwa na umeme. Ndio wa kwanza kuwa na State TV Ndio wa kwanza kupata rubani wa...
  11. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Tofauti yakuwadanganya watanzania kwa kuleta gazeti la mkoloni Mjerumani wakati wenzako wanaongelea magazeti ya kizalendo.
  12. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Mwanakijiji una uhakika hakuna mtu aliyeiba password yako?
  13. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Unawaibisha wasambaa wenzako. Kutemewa mate na mzungu ndio sifa? Waulize wa babu zako kwanini watoto wa kisambaa enzi hizo za mjerumani hawapendi kukatizia pale kilichokua chuo cha mahakama ambapo enzi hizo ilikua Deutch Schule. Kama walikua wanapenda kutemewa mate kwanini wasitumie ile njia...
  14. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Wewe msambaa kweli akili zako ni zero. Nilikua nafuatilia post zako kwa muda mwingi nikaona kwamba huprovide chochote bali ushabiki tu. Wenzio wanaongelea gazeti la mtanganyika wewe unaongelea gazeti la mjerumani? Tena wajerumani waliokua wanawatemea mate watoto wa kisambaa pale Dochi...
  15. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Si ndio maana nikakuambia mtumie Yericko Nyerere, ni mtoto wa Nyerere kwahio itakua rahisi kuipata.
  16. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Hili swali nilikuuliza mimi, mbona unali-direct kwa Zomba? Pili Zomba alikurahisishia, anasema unaweza kutuma PM kwa Yericko halafu atapewa dollars na Zomba akaichukue.
  17. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    TANU na ASP kwanini wasubiri mpaka miaka 13 ipite kuianzisha CCM?
  18. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Una contacts RTD hawewezi kukutumia kwa post mpaka tusubiri utakapoenda TZ? Halafu umesahau kuna mtu alitoa offer hapa kwahio wewe utakacholipia ni post tu ambayo haitafika hata 20$
  19. D

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Mwanakijiji itakuchukua miaka mingapi kuandika historia yako ukimuondoa huyo Sykes? Ila itakupa tabu kwani mpanda ngazi huanzia za chini.
Back
Top Bottom