Search results

  1. B

    Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Kama wewe mwanaume rijari utaridhika familia yako ilishwe na wanaume wenzio? Sasa hiyo ndio serikali yetu haioni aibu wala soni nchi yenye ardhi yenye rutuba kulishwa mahindi ya ngombe toka marekani!! Huku Samia kazi kutalii na Dreamliner na wabunge nao wanataka wanunuliwe ndege yao!! Nchi...
  2. B

    Benki Kuu ya Tanzania yatoa Taarifa kuhusu Wizi katika Sekta ya Benki, miamala ya simu yaongoza kwa wizi

    Hii inaonyesha dhahiri weledi mdogo wa watu wanaoongoza nchi hii! Nchi hii ina wasomi wengi wa kutukuka lakini cha kushangaza ccm inaona ni bora nchi iongozwe na hawa vilaza ili waendeleze wizi wao!
  3. B

    Yawezekana kabisa Tanzania inaongozwa na watu ambao hawajawahi kabisa hata kuisoma kabisa!

    Abdurahaman Kinana; huyu Magufuli alimpumzisha kwa uchafu wake! Akaja rudishwa na fisadi wa Msoga baada ya kumsindikiza Magu!
  4. B

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Mimi ningekushauri kama una uwezo kaa ulee watoto wako ; lakini uwe na mwenza mnaependana wa kukusitiri. Once beaten twice shy!
  5. B

    Benki Kuu ya Tanzania yatoa Taarifa kuhusu Wizi katika Sekta ya Benki, miamala ya simu yaongoza kwa wizi

    Na wewe ukaamini bila kuchuja! Kwa akili ya kawaida tu kuna transactions ngapi zinafanyika kwa siku moja na kama alivyokuambia katika kila transaction anachukua shilingi 3 zinaingia kwenye line yake!! Huoni kuwa hizo ni hela nyingi sana kiasi kwamba lazima atakamatwa? Kwanza atazitoaje hizo...
  6. B

    Benki Kuu ya Tanzania yatoa Taarifa kuhusu Wizi katika Sekta ya Benki, miamala ya simu yaongoza kwa wizi

    Lazima BOT iwe urembo kwani wanachaguana kupeana kazi kwa kujuana na sio kwa weledi! Hiyo nafasi ya Gavana inapwaya kwani Mpango alishinikiza apewe mtu wa kwao na kuwaacha wachumi wabobezi wenye uzoefu kama Dr. Enos Bukuku!!
  7. B

    Unajifunza nini ukiitizama picha hii?

    Nenda kamuelimishe baba yenu Yusuf Makamba!
  8. B

    Unajifunza nini ukiitizama picha hii?

    “ Man eat man society “!
  9. B

    Unajifunza nini ukiitizama picha hii?

    Mama “ mboga” alikwisha kimbia hayupo humu siku hizi!!
  10. B

    Ndoto inayowaogopesha CHADEMA usiku na mchana

    Ccc ilimtumia sana Zitto kama “ snitch” wao alipokuwa Chadema na wao huwaita watu wa namna hiyo kwa jina la “ Kikulacho”!
  11. B

    Shujaa wa Afrika aliyepambania taifa lake kumaliza tatizo la Umeme. Mradi wa JNHP ni suluhu kwa taifa letu

    At what human and material costs?Ukilinganisha bajet iliyokadiriwa kumaliza mradi na gharama zilizotumika ndio utajua kiasi gani wananchi wamepigwa kwenye huu mradi!’ Na kamwe serikali haitatoa hadharani actual costs za huu mradi!🥲🥲
  12. B

    Hospitali ya Mzena wanapokea bima ya NHIF?

    Wengi wakiingia kwenye hiyo hospital wakitoka “ marehemu “!
  13. B

    Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!

    Huyu Nyanganyi yuko wapi? Namkumbuka kutokana na kashfa ya kivuko cha UNIFLOAT pale ferry! Jamaa alishirikiana na marehemu colonel. Kashmir wakapiga hela kwa kununua ferry MTUMBA!’ Nyanganyi akaja fanya scandal nyingine akiwa Chairman wa ATCL akakodisha ndege hewa ya Kubeba mahujaji akiwemo...
  14. B

    Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

    Wazee si ndio hao mnasema wanawatilia kiwingu kwenye mambo yenu waache wakacheze na wajukuu zao😀😀
  15. B

    IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

    Zombe nilisikia kajificha huko mtoni kwa Aziz Ali!
  16. B

    IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

    Umemuona msaidizi mkuu wa Mahita akiitwa Mwansasu? Nilimuona sehemu za Bahari Beach; kachoka sana!! Kuna wakati aliajiriwa na Dioniz Malinzi!!
  17. B

    Abdul Mwinyi: Hayati Mzee Mwinyi hajawahi kuugua maisha yake yote, isipokuwa miaka 2 iliyopita

    Rais wa Zenj ni mkubwa; ndio aliyewahonga wabunge wamchague mdogo wake kuwa mbunge wa baraza la Africa Mashariki!
  18. B

    KERO ATCL kuna tatizo gani? Mmetusubirisha ndege kwa saa tatu na nusu

    Qatar Airways!😀 But you pay for good service; nauli zake sio za kitoto!!
  19. B

    Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT

    Huyu Muliro sijui kwanini hajastaafishwa? Hafai kabisa kuwa RPC kwani ameshindwa kabisa kuwasimamia ma OCD walio chini yake! Rushwa imekithiri. Kwa polisi kanda maalum na uharifu unawatesa wananchi na yeye yupo yupo tu!! Mrudisheni Mambosasa yeye aliweza Dar.
Back
Top Bottom