Search results

  1. G

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Kwa hiyo pesa kuangalia EPL mechi zote, Uefa mechi zote, baadhi ya mechi za france, germany,italy na spain naona kama ni sawa
  2. G

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Vinapatikana mkuu, kuna jamaa yuko kigoma, hata kulipia unamtumia jamaa pesa ndio analipa, nipo naangalia mechi ya arsenal nw
  3. G

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Ni bora ununue dish la Canal +, unaona mechi za ligi kuu uingereza zote, uefa, italy na baadhi german na spain kwa mwezi 45000
  4. G

    Ipi rekodi yako ya uzoefu katika uendeshaji gari safari ndefu?

    Tanga- Mwanza 1057Km Kuanzia saa 9 alfajir- saa 5 usiku
  5. G

    Naomba uzoefu wa kuangalia mechi ya Simba na Yanga

    Shukran wakuu, nimecancel, nitawapeleka tu sehemu wakaangalie kwa tv
  6. G

    Naomba uzoefu wa kuangalia mechi ya Simba na Yanga

    Wakuu ni kwa mara ya kwanza nataka kwenda kuangalia mechi ya Simba na Yanga taifa na, sijawahi kabisa kuangalia mechi hapo, so ningeomba kupata experience juu ya 1. Natoka mkoani, jinsi ya kulipia tiketi inakuwaje? 2. Nakuja na watoto, miaka 8, 6 na wa miaka miwili, je VIP itakuwa chaguo zuri...
  7. G

    Toyota nadia kuweka engine ya IST

    Naweza kuweka ipi nyingine?
  8. G

    Toyota nadia kuweka engine ya IST

    Wakuu kwema, nina gari aina ya toyota nadia, iko na engine ile ya zamani, na iko juu ya mawe muda mrefu, sasa nataka kuifufua, Hivi naweza kuondoa mfumo wake wa zaman, nikaweka engine na gear box ya gari ndogo kama IST?
  9. G

    Material ya screen printing

    Kwa dar wapigie hawa jamaa 0717547355 wako kariakoo msimbazi karibu na big bon
  10. G

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Mwl kombo, mr hemedy, mwl mama dura headmistress, mwl kimea
  11. G

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Nilimuona Tanga, kuna kipindi alikuwa anafundisha Eckenford, sijajua yuko wapi sasahv
  12. G

    Saa moja ya 'mapambano' mimi na waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Mkuu hii inshu ni ya tanga nini? Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  13. G

    Msaada: Dawa ya sisimizi ndani

    Hivi akheri powder ni sumu? Sisi wenye watoto wanaozunguka nyumba nzima sio mbaya kwao?
  14. G

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Canter iko wapi? Bodi yake ni futi ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. G

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mombasa kenya Sent using Jamii Forums mobile app
  16. G

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    File not found mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  17. G

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Link ya A50 mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  18. G

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Wakuu naomba link ya samsung a30 na a50 au bado? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom