utumishi mna kosea sanaa serekali inatakiwa iingilie kuhusiana na hili kwasababu vijana wakiamia dar es saalam..kutoka mikoan mnawaona wajinga lakini sababu nikuokoa nauli kama hizo hv kwanini msingehamia dodoma katikati ya nchi angalau kidogo ingesaidia...alafu pia naona hamna ratio yaan mnaita...
mbona unalialia sanaa kwan shule za kata huzioniiii...unapenda vizuri unaogopa gharama...mbona hata ukienda kwenye hotel za kimataifa soda inauzwa 5000...uswahilin 700...usikae kulaumu nenda sehemu ambapo unauwezo napo
kwanini kila mgombea anazungumza kuwapa ajira vijana..lakini hawasemi watawatengenezea mazingira ya vijana kujiajiri wenyewe kwa sababu tukiwezesha vijana kujiajiri.. Nakuondoa wazo la kuajiriwa itasaidia kupunguza tatizo la ajira.
unakosea unapojiita mwana sayansi.. Ww sio mwanasayansi ww unasoma historia ya sayansi tuu... Hujawahi hata kugundua kitu kidogo kwa akili yako eti unajiita mwanasayansi...ifike sehemu dhamira yako ikusute usijekuwakasirisha wanasayansi marehem kama isack newton...n.k
alisema huwa anafanya tafiti lakini leo anatuambia gwajima alimuambia maaskofu wamehongwa na bila kufanya utafiti wowote amekuja kuropoka hadharan.. Je kama gwajima alimdanganya atatuakishiaje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.