Search results

  1. KIMAROO

    Hali ilivyo mtaani baada ya Hotuba ya Mei kutoka Mbeya

    Akili yako imeishia hapo kudadavua mambo?? unajua hao walipa kodi uliowataja walipa kodi wakubwa ni wafanyakazi?? unafahamu ongezeko la mshahara ni takwa la kisheria ili kuendana na hali halisi ya kimaisha?? unataka vyama vya wafanyakazi vitete wasiyo wafanyakazi?? unafahamu moja ya jukumu la...
  2. KIMAROO

    Hali ilivyo mtaani baada ya Hotuba ya Mei kutoka Mbeya

    mfanyakazi wa umma anadharaulika sana awamu hii... Ni aibu sana kwa mfanyakazi kuendelea kukatwa hela kwa ajili ya vyama visivyojua majukumu yao katika kutetea wanachama wake.
  3. KIMAROO

    MEI MOSI 2019: Rais Magufuli asisitiza kuwa ataongeza mishahara akikaribia kuondoka madarakani. Awataka wafanyakazi kuwa na subira

    wafanyakazi wa umma awamu hii ni mnyoosho tuu. Hatari sana hakuna kujaliwa kimaslahi na ukijiongeza ukaanza biashara mwizi.
  4. KIMAROO

    Wapinzani msithubutu kufanya "political suicide" ya kususia chaguzi zijazo

    Fact... Nahisi labda kuna namna nao wanafaidika how comes unaingia vitani na mtu ambaye unajua kabisa uwanja wa vita una mbeba
  5. KIMAROO

    Wapinzani msithubutu kufanya "political suicide" ya kususia chaguzi zijazo

    Trust me kwa changuzi chache za marudio zilizopita ni ujinga wa kiwango cha juu kujipa moyo kwamba uchaguzi mkuu ujao kutakuwa na wabunge wa Upinzani...Unless nguvu hii inayoonekana isitumike. Kinachofanyika sasa hivi Tanzania ni kiini macho tuu nothing else
  6. KIMAROO

    Wanawake wenye watoto waliotelekezwa wafurika ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda kushitaki

    Another wastage of time... Trust me hili halifanikiwi hata kidogo.. Na badala yakuleta amani litaleta mifarakano na maugomvi zaidi kwenye familia. Lets wait and see
  7. KIMAROO

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Ni mpuuzi pekee anayeweza kuandika alichoandika huyu . Hasa kipengele cha binti yetu akwilina. Bila kupepesa macho mlaumiwa namba moja Mtulia, mbili mkurugenzi aliyegoma na viapo, wengine watafuatia
  8. KIMAROO

    Salum Mwalimu Juma hawezi Kushinda Kinondoni

    Mtoa mada umeongozwa na Mahaba naona
  9. KIMAROO

    PAC yashtushwa na mtaji wa 150,000 wa mwekezaji Mlimani City

    Unajiita kingunge lakini akili yako fupi tafta land act na village act then soma ujue ardhi ni yanani siyo kukurupuka na kujibu kama uko kwenye bar ya wauza pombe za kienyeji mdogo wangu.
  10. KIMAROO

    PAC yashtushwa na mtaji wa 150,000 wa mwekezaji Mlimani City

    Upuuzi... Yaani uje na vihela vyako mbuzi uhonge wapumbavu wachache upewe ardhi yetu kijinga uende bank pengine za ndani uchukue hela alafu usifie idea? Kumbaaafu in tz ardhi yote ni ya raisi # Mrpresident we need our land at mlimani city
  11. KIMAROO

    PAC yashtushwa na mtaji wa 150,000 wa mwekezaji Mlimani City

    Another usanii wa kiwango cha lami... udsm ndyo ilotoa aslimia kubwa ya wateule wa sasa does it mean hawakuona huu mtaji?? Serikali iliyoingia huo mkataba ni ya Chama hiki hiki cha sasa haikuona?? Hivi wahusika wa wakati ule na wasasa wanatofauti?? USD 75 ardhi yote ile tuna shida mahali aseee
  12. KIMAROO

    TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Weledi (professionalism) vinapochanganywa na siasa ni uendawazimu wa kiwango cha juu.
  13. KIMAROO

    Serikali: Pato la Taifa limekua kwa 6.8% ikilinganishwa na 7.7% ya mwaka jana. Uchumi haujaporomoka!

    Hivi hili pato Huwa linakuwa kwenye nini? Naonaga tuu linakuwa ila nikiangalia 10,000 ya Enzi za JK na ya sasa naona kama hazifanani... au kukua huko Maanake ndyo hiyo kwamba asubuhi ukitoa 10,000 ikanunue sukari ndyo ujue hata saa sita haifiki??
  14. KIMAROO

    RC Mrisho Gambo asema makanisa ya Kakobe yachunguzwe, isije ikawa ni wakala wa Shetani!

    Aibu kubwa hii viongozi wa siasa tena watoto kuanza kubishana au kutoa maneno ya kashfa kwa viongozi wa kidini... hii si sawa hata kidogo kwanini hawajiulizi kwanini huko nyuma Haya mambo hayakuwepo?? Majibizano Haya si mazuri Sana na nafikiri hatuelekei pazuri
  15. KIMAROO

    Elizabeth Michael(Lulu) akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Ni kweli lakini wakiangalia judgment pamoja na muda wa hukumu anaweza pata.
  16. KIMAROO

    Elizabeth Michael(Lulu) akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Huyu Judge kaamua kesi hii kwa hisia na si kwa matakwa ya sheria.. Kibatala akate rufaa pia amuombee dhamana pending her appeal
  17. KIMAROO

    Msondo ngoma wanadai walipwe mil 300 na WCB

    Sheria Ipi unazungumzia mkuu maana kama ni copy right act ya 1999 hakuna kitu kama hicho
  18. KIMAROO

    Pongezi kwa Rais Magufuli kusitisha Bomoa Bomoa kwa kuongeza kigezo cha "Human Face". He's so Human!

    Mayala Mbona kama heshima yako uliyoijenga hapa jukwaani mda mrefu unaanza kuishusha kwa kasi sana... Hivi neno mwanza siku hizi lina wakilisha neno Nchini... acheni kutonesha vidonda Vya watu Jamani Kuna Watu mpaka Sasa wako nje na mvua za sasa zinawatesa.
  19. KIMAROO

    Jerry Muro: Zitto Kabwe ana tatizo zito kichwani

    Aisee mangi anaandika weee Ila Blaza hamuoni... hata punguani ukimuuliza Jelly na Mzito nani an hoja atakujibu nafikiri Jelly atulie tuu si saizi ya Mzito hata kidogo... Jelly uwezo wake uko kwenye kwnini leo moja moja!?
  20. KIMAROO

    Mwakyembe amteua Albert Msando kuwa Mjumbe wa kamati ya kupitia sheria ya hakimiliki

    Hongera Kwake Ila linalonitatiza ni kwamba Hakimiliki (Copyright) iko chini ya wizara ya viwanda na Biashara. Sheria yake inapitiwa na kamati iliyoundwa na wizara ya habari sanaa na michezo...
Back
Top Bottom