Search results

  1. B

    Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    Habari hizi sio za kweli na Kama Serikali itaona kuna haja ya kuwa na Ubalozi mdogo Guangzhou basi itafanya hivyo kwa kumteua huyo Balozi mdogo moja kwa moja toka Tanzania na mwenye vigezo na sifa.
  2. B

    Kikwete 'live' TBC1 Sept 9, 2009

    Sasa invisible sisi tulio mbali na Tanzania tutamsikiliza kupitia link gani?Naomba sana uweke audio yake hapa baada ya kumaliza hotuba
  3. B

    Changia Mzumbe Onesha Uspecial wako!

    Ebu tuondolee hoja za ubinafsi.Watu kama nyie ndo mnaoendeleza fikra za kifisadi.Kwa hoja yako ya kibaguzi ni wazi kabisa kuwa ukiwa kwenye POSITION lazima uweke mbele UBINAFSI.Badilika mwanangu kama si mjukuu wangu
  4. B

    WATCH: Oil explorations & projects in Tanzania

    [QUOTE=mrugaruga;537289]Ndiyo, RRI wanatengeneza TURBINE za kutumia natural gas tuliyonayo hapo nyumbani. Je una data zozote kuhusu ule mradi wa pili wa Oil Generator wa Mwanza?ule wa 60MW?je atachukua mjukuu wa richmond?
  5. B

    WATCH: Oil explorations & projects in Tanzania

    Mrugaruga huo mtambo unaousemea ni wa gas(100MW).Kama Kweli Serikali imeziba masikio na wawape mradi huo NOOR OIL then waone kama watanzania tumelala.
  6. B

    WATCH: Oil explorations & projects in Tanzania

    Kuna miradi miwili ya Tanesco.Moja wa Majenereta ya kutumia oil kuzalisha umeme .Huu utakuwa Mwanza na ni 60MW.Mwingine utakuwa wa majenerator ya Gas 100MW utafungwa ubungo.Sasa kama nilivyowaambia kujitahidi kufanya uchunguzi wa Hii miradi isije kupewa kampuni mtoto wa richmond a.k.a Noor...
  7. B

    Mitambo ya Dowans imenunuliwa lini na Tanesco?

    [I] kAAAAAZI KWELIKWELI.je hii ndo website yao?au ni wengine Refinery & Pipelines - Home
  8. B

    Mitambo ya Dowans imenunuliwa lini na Tanesco?

    MKUU KAMA HILI NI KWELI LA HIYO KAMPUNI YA noor oil UFISADI MWINGINE ,TUTAPAMBANA NA TANESCO KABLA SAMAKI HAJAWA MKAVU.WAKUU TUKAE TAYARI.
  9. B

    Tetesi: Zitto kufanya press conference Dar!!!?

    Aisee huyu bwana mdogo Zitto Dowans anaanza kuchafua hali ya hewa!!Walio karibu naye huko Tz .Pamoja na Tanesco kutangaza kununua mitambo mipya miwili yenye kuzalisha 160MW yeye bado anang'ang'ania Dowans!
  10. B

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Watanzania si wajinga TENA!! Hatutalazimishwa kuoga maji machafu na walio wachafu!Zitto kaoga maji machafu aliopewa na wachafu.Mwakyembe katu usiyaoge maji hayo!
  11. B

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Magufuli pongezi zikufikie.Ni mwanzo mzuri na kaza mwendo ,tutafika.Nadhani bie ya samaki ni Ghali kutokana na MAHARAMIA KUIBA SAMAKI WETU.Kwa hiyo mwanzo huu utaleta unafuu kwa siku zijazo na tutapata samaki wengi na kwa bei nafuu.Naamini mpango huu una maana kubwa ya kudhibiti Maharamia ili...
  12. B

    Zitto sasa apachikwa jina la 'DOWANS'

    Sioni sababu ya kumshupalia Zito.Alilewa umaarufu kiasi cha kutufanya wana JF mabwege na akifikiri kila atakachosema tutamsuport akifikiri JF ni upepo unaolekekea chama fulani,kwa hiyo maamuzi atakayosema na misimamo basi nasi tutaelekea huko.JF haina CHAMA,HAIMBEBI MTU,ila Inasupport,inalinda...
  13. B

    Mpiga debe wa Kichina stendi ya Ubungo

    We Jafar si wapenda mteremko,wacha wazee kwa kazi wajitume maana inawezekana wanaona wabongo longo longo kibao na watu wa kupenda mteremko
  14. B

    Pikipiki zisizotumia Petroli

    mkuu kilongwe 1000 yuan au 3000 yuan ni sawa na shilingi ngapi za kikwetu?Hapo umeniacha kidogo
  15. B

    Pikipiki zisizotumia Petroli

    Hiyo ni kweli.Wachina karibu miaka 5 sasa hawatumii pikipiki za petrol.Ni pikipiki za umeme tu.Na ukionekana una ya petrol unakamatwa.Wanapunguza uchafuzi wa mazingira.
  16. B

    Mfanyakazi mmoja kati ya watatu huangalia ngono ofisini wakati wa kazi

    Sasa kama utafiti huo ni kwa uingereza tu,hapa bongo sijui.ila bongo mambo ya internate ofsini siyo kila kompyuta in net,nahisi kupiga michapo na jana ulikuwa kiwanja gani na mtu gani bado yanachukua nafasi kubwa sana maofsini pale bongo
  17. B

    China now 3rd Biggest World Economy

    Yaani Son of Alaska mpaka leo hujui dunia maendeleo yake kama yameamia CHINA? Hapa Toronto masela kibao wameanza kuzamia China .Si wazungu si weusi.Mimi mwenyewe nimepata niko mbioni kwenda kuishi kule.Naenda kuishi SHENZHEN au SANYA
  18. B

    CHADEMA na orodha mpya ya mafisadi

    We dogo angalia sana.watu hatulali kuhakikisha ufisadi unaisha wewe unakuja kuupaka mafuta? Kwanza huna unachoambulia kwa hao mafisadi ,then unapiga makelele tu ili wajue unawasaport.WATANZANIA SI WAJINGA TENA!
  19. B

    Online Meeting with CHADEMA - Kuimarisha Upinzani na Kuleta Maendeleo - No 1

    Nchi yetu ikipata vichwa kumi tu kama huyu Allien basi tunaweza kuelekea kwenye neema ya asali na maziwa
  20. B

    JF Kuwa Chama Tishio Cha Siasa?

    Shukrani mtoa wazo.Na wazo linaweza kuzaa wazo kulingana na response ya wadau.Kwa sababu lengo ni kuelimisha na kumkomboa mwananchi hata wa kule mwakaleli,basi sisi kama wamoja ndani ya jf tunachoweza kufanya na bila kuathiri majina yetu tunayoyatumia ,na bila kuathiri maana ya jf kama chombo...
Back
Top Bottom