Search results

  1. K

    Mishahara ya serikari!

    Ndugu wana jamii napenda kujua mshahara wa TGS C ni shilingi ngapi? asanteni
  2. K

    Kwa nini wachaga ni wabaguzi sana katika vyeo- bila kuwa mchaga hupandi cheo

    Si wabaguzi,ni kwamba wanavigezo vinavyo itajika angalia cpa zote bongo wachaga ni asilimia ngapi?
  3. K

    Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

    Tudai hiyo mikataba ili tujue kinachoendelea si ni haki yetu,ongera mtoa mada
  4. K

    Mali ya Julias Malema kupigwa mnada Afrika Kusini

    HABARI WANA JAMII,Julias Malema aliye kuwa kiongozi wa vijana wa chama tawala South Africa mali zake nyingi pamoja na jumba la kifahari vina pigwa mnada kwa sababu ya yeye kushindwa kulipa kodi (alikwepa kodi). Je kuna uwezekano wa kutofautisha pesa na siasa! wanasiasa wengi ni matajili na wana...
  5. K

    Elimu ya Nape Nnauye

    Maoni yangu si-ya kisiasa:mbuzi hawezi kuwa ngombe, Mnyika ni kichwa tu kwani uwezo wake ndio una onyesha jamaa ni bright sn achana na mambo ya kisiasa.
  6. K

    Elimu ya Nape Nnauye

    Ni kweli mimi alikuwa room mate wangu,baada ya kumaliza form 4 alipotea kabisa na akaja kuibuka katika siasa na kitu kingine ambacho ni suprise Nape hakuwa na hobby ya uongozi ndio maana labda alikuwa akiitwa mlokole,alikuwa mpole na asiye kuwa na dalili zozote za kutaka kuwa kiongozi kama pia...
  7. K

    Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

    feki politiki
  8. K

    Uhamisho TAMISEMI 2012/13 Attached

    Ndugu, wanatumia gharama zao wenyewe,kwani wengi wao wame omba kuhama na si-kwamba serikali imewahamisha
  9. K

    Uhamisho TAMISEMI 2012/13 Attached

    Ndugu, wanatumia gharama zao wenyewe,kwani wengi wao wame omba kuhama na si-kwamba serikali imewahamisha
  10. K

    Uhamisho TAMISEMI 2012/13 Attached

    asante sana mkuu,ubarikiwe!
  11. K

    Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    Kilicho wa tofautisha ni: information technology and globalization for one side and the other side ni communism. THINK!
  12. K

    Uhamisho wa Watumishi toka TAMISEMI January 2013

    Nimepata habari hayo majina yamebandikwa notes board za tamisemi dodoma kama kuna wadau uko wafanye mpango ili yame kwenye mtandao.
  13. K

    Uhamisho wa Watumishi toka TAMISEMI January 2013

    ndugu ata mimi natafuta hayo majina ya nimechek web yao lakini wali ya post tarehe na sasa wamesha ya toa,aliye weza kuya download atu juze! asanteni
  14. K

    On Magufuli na Odinga: CHADEMA wapo sawa!

    Kwa maoni yangu naona kwamba magufuli yuko sawa kabisa,kwani wana siasa wakikaa mda mrefu hawaja ongea kitu wana hisi kama vile wamepotea kwa hiyo issue kama ya magufuli ikitokea wanakomaa nayo na wakati aina tatizo lolote,ushauri wangu kwa chadema wanachi watawachoka mkianza kukomali Vi-issue...
  15. K

    Milion 500 kwa walemavu

    Jana nilisikia kauli ya serikali kwamba wametenga 500milion kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu katika majengo kwa ajili ya walemavu,kwa mtazamo wangu pesa hiyo ni kidogo sana iki linganishwa na ukubwa wa issue yenyewe ni vema ika ongezwa
  16. K

    Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

    Elimu ni mihimu sana,lakini tumeshuhudia viongozi wa bara la Africa wenye Elimu wanavyo shindwa kuendesha Inchi,ni vizuri ungeweka na CV za uhadilifu!
  17. K

    Kauli tatu tata za mwenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe) ktk kipindi kisichozidi miezi 3

    attach nyanzo vya habari ili tuweze kuhamini,alafu tunaomba chadema wajibu hizi tuuma(officialy with evidence)
  18. K

    Mtonyaji serikalini; Usalama wa Taifa wampa JK mtihani mzito kuhusu CHADEMA kuelekea 2015

    Siasa ni mchezo wa ajabu sana! ccm inamiliki wanachama wa chadema na chadema hivyo hivyo.
Back
Top Bottom