Search results

  1. M

    BBC Swahili ni kituo cha kueneza Propaganda za Uislam?

    na watangazaji ni wale wale waislam kama kassim kaila,salim kikeke
  2. M

    Kuandikisha majina ya wachangiaji rambirambi kuna sababu gani.?

    dah umenikumbusha mbali sana,wote tu wamoja,nadhan koment yako ndio jibu sahihi!!
  3. M

    Luku ya Mpesa iliyogoma kuingia

    piga huduma kwa wateja 0768985100 au 0222194400 utapata msaada wote wa matatizo yako ya umeme
  4. M

    Tundu Lissu akiongea ni kama AG, MNYIKA kama Spika, Mbowe kama Waziri Mkuu

    una wivu wa kijinga sana,nahitaji kujua elimu ili nitoe hitimisho kuhusu jibu lako!!
  5. M

    Mbasha aache kutumia Propaganda za Gwajima kuseek Public Sympathy kwa tuhuma zinazomkabili

    huwa nasoma sana comment zako nahuwa zinamaana sana,lakini kwa hili umepotoka kidogo!!kama hujatumwa kumsafisha gwajima basi achana nalo na endelea na mambo ya kuelimishana kimaendeleo,huko ulikoenda waachie wa mipasho,labda kama na wewe umehamia sekta hiyo!!
  6. M

    Fumanizi la aibu: Mke afumwa live kitandani

    ni kweli kitendo alichofanya kwa kutembea na mke wa jirani yake ni kosa na aibu kubwa,swali je hiyo fidia ya milion 1 inaweza kufuta aibu ya mke wake kukutwa gest?je hakukua na njia nyingine ya kulirekebisha hilo hilo kabla ya kuita mapaparazi?
  7. M

    Aisee kabla ya kuoa hakikisha unajiridhisha katika hili

    Acha woga mtoto wa kiume,jiamini!;inawezekana wale wenye benz ndio wana maisha magum sana kuliko hata huyu mwenye subaru,maisha ya ndoa usiyapimie ukiwa nje utaumia sana na utafeli
  8. M

    Kama mke hazai ni vema kuachana naye?

    wala usithubutu utakua umefanya kosa saana,ukimuacha usije shangaa alokoolewa amezaa,na hapo ndio utaumia zaidi ya ulivyoumia sas!!
  9. M

    Anaefahamu Mwalimu wa Music au chuo cha music

    nenda pale kabla hujafika baruti kuna kituo kinaitwa rombo,kuna waalimu wazuri wa vifaa hivyo,ukipita barabarani utaona bango la kitambaa upande wa kushoto
  10. M

    Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

    kweli nimemsikitikia sana ndugu yangu zitto,ni miongoni mwa vijana niliokua nawakubali sana hasa kwa misimamo yake,najiuliza sana,je alipagawa na nini huyu jamaa?binafsi nilijua angekwenda kwa viongozi wake kukiri na kutubu kwa umakini kabisa,na bila shaka haya mambo yasingefika hapa yallipofika...
  11. M

    Makabila na tabia zao

    wangoni na wapare hawana hiyana(yaan sio wachoyo ktk kutoa penzi,tofauti yao ni kubwa ni kwamba wangoni wanajua sana wawapo kwenye 6 kwa 6,ila wapare hawana lolote uwanjani,ni kama gogo vile
  12. M

    Wale mlosoma economics nisaidieni

    habari kijana!!kama ni swala ajira kwa nchi hii unaweza ukasomea kitu fulani na usifanye kazi katika hiy sekta uliyosomea,ila sasa kwa swala uwanja mpana wa ajira nakushauri usomee AGRICULTURE.Hii ni nzuri na haina ushindani mkubwa kwa sababu hata waliosmea course hiyo ,huwa hawapendi kufanyia...
  13. M

    Hellen kijo bisimba...nakuheshimu lakini kwa hili nimekudharau.

    acha unafiki wewe!!umeshatibua na umeona watu walivyojibu then unajifanya kujirudi kijanja!!kwani usinge ipost hiyo mada baada ya kuona tofauti hizo ungepungukiwa na nini??una upeo mdogo kuliko hata ukubwa wa punje ya haladari
  14. M

    Madawa ya Kulevya: Msanii Masogange, mwenzake wapata dhamana (S. Africa)

    kwa kweli huyu jamaa aliyetoa mada nimemshangaa sana,kweli humu jamvini kuna watu wenye upeo wa namna hii kweli? na sio wale Great T hinker niliokua nawafurahia kusoma comment zao!!kweli mda hii imenisikitisha sana.
  15. M

    Wizara ya elimu,uzembe hadi kwenye mitihani ya kitaifa?

    uzeme wa bunge na wabunge,tumefika hapa tulipo kwa sababu ya upuuzi wa ccm by john mnyika june.
  16. M

    Angalia tabia jinsi ulivyo kutokana na mwezi ulio zaliwa...kama kweli tia like

    mim na my daughter ni may,kuna ukweli ndani yake!!
  17. M

    Msikiti Dodoma waungua

    wewe cute!sio kila mada unayoikuta humu ni lazima uichangie hata kama huna point muhimu,hili ni swala la kuhudhunisha,na mleta mada ameshasema kua ni shot ya umeme,sasa hayo unayoyanena yametoka wap?!!hili jukwaa la watu wenye hekima na utashi uliokomaa,ndio maana kumetenganishwa majukwaa,kua...
  18. M

    Tukubali tukatae watanzania ni waoga

    huo ndio uoga wenyewe anaouzungumzia kijana !!
  19. M

    Ukitoa mapambo ni yapi matumizi mengine ya DHAHABU na ALMASI

    tena ule ulioibiwa ofisini kwa IGP ingawaje kuna ulinzi wa kutosha sana na makamera ya kutosha na mwizi hajapatikana!!
  20. M

    Kitambi chako ni kipi kati ya hivi?

    dah umeniua sana ndugu yangu hasa hiyo ya 5
Back
Top Bottom