Search results

  1. T

    Prof. Muhongo kajiuzulu Uwaziri, vipi Ubunge wa kuteuliwa?

    Mwachie aliemteua aamue. Acha wivu wajameni!!!khaa!!!watz tumezidi chonga midono kila kukicha!!!
  2. T

    Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    Porojo za siasa ziko too much. Ni wakati muafaka kuangalia nani hasa anaehusika na upotevu wa mali ya umma na sio kushambulia mawaziri wasio na hatia. Ukizingatia tunapoteza hazina ya wataalam kwa watu wa hulka ya Prof. Muhongo. Wabongo,tutamkumbuka huyu baba,nipo hapa.
  3. T

    Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Kwanza,tulaumu wazazi,wajue watoto wao wanafanya nini na wako wapi muda wote. Pili,turudishe accountability za mabalizi wa nyumba kumikumi. Tatu,Neighborhood watch ni muhimu kwa kila raia. Watu waelezwe kuwa ulinzi wa nchi ni wajibu wa kila raia. Nne,uongozi wa mitaa uamke kukabilina na...
  4. T

    Miraj Kikwete: Mimi na dada yangu Salama hatumiliki Kampuni ya Simba trust

    Based on ur last name,it's a shame to cook up story coz u know how much it takes when u carry those last names!!For u to insult HE The Presidents kids without any factual evidence is totally low!!
  5. T

    Paul Makonda ndani ya DC Jumamosi Nov 15,2014 saa 5pm

    Wewe uko DMV na itakuwa ni wale watu wachache wanaojulikana kuingilia mikutano ya wenzie na kufanya fujo. True fighter doesn't use force,itisha mkutano wako tupime wangapi wako tayari kukusikiliza wewe
  6. T

    DMV USA: Protest to oppose and stop unconstitutional general meeting

    Hao watu wenye contact info wa hiyo protest hawana karatasi kwa hiyo suala la uraia pacha haliwashtui. Dotto Malongo anahudumia mataahira ndio maana na yeye akili zimemruka
  7. T

    The influence of a single individual in the DMV Tanzania community The DMV!

    Huu mjadala ni wa kufungwa maana mahakama imetupilia mbali kesi yao
  8. T

    The influence of a single individual in the DMV Tanzania community The DMV!

    Amerika hawana upeo mdogo kama uonavyo wewe. Ukienda mahakamani utajikuta wewe ndio unafaa kumlipa faini kwa kuandika uzushi na uongo. I hear about her,nafasi yake ya katibu wa tume ya uchaguzi,aliwabana sana waliotaka kuhujumu uchaguzi,matokeo yake mmeanza kumpiga vita mitandaoni kumbe ndio...
  9. T

    MwanaKijiji: Hili ndilo jibu la hoja ya uraia pacha!

    Kikubwa ni kutofautisha hoja mbili:"HAKI YA KUZALIWA" AU "URAIA PACHA"
  10. T

    The influence of a single individual in the DMV Tanzania community The DMV!

    Environmental =Libe Get a life young man!!!We are tired of YOU!!!!!!
  11. T

    Matokeo ya uchaguzi wa DMV, seriously you guys?!

    Lete facts please!walioleta hujuma mbona ni CHADEMA everyone knows. Wagawa karatasi za wapiga kura ni mpiga debe wa Libe(Jabiri Jongo-CHADEMA). Huyu bwana inabidi ajibu hizi tuhuma za kura kuzidi wapiga kura. Walioleta watu wanaoishi nje ya majimbo husika,yaani wakaazi wasio na sifa za kupiga...
  12. T

    Tanzania tumejiandaaje kwa Ebola?

    Nakuunga mkono,vilevile wananchi waelimishwe kuzuia kwa kuelewa chanzo cha ugonjwa. Repoti mbalimbali zinasema chanzo ni wanyama pori kama nyani,na popo na wengine. Pia nguruwe anaweza kuwa na virusi vya ebola. Unaambukizwa kwa kula hizo nyama au mizoga yao kuingiliana na vitu mbalimbali vya...
  13. T

    Rais wa Tanzania yupo Houston Texas: Je kuna umuhimu kuonana na Watanzania?

    Sawasawa ,namuunga mkono Mh. Rais. Mpaka siku tutakayojifunza heshima inakuja kwa kujiheshimu. So until we all learn that,then tuwe na nguvu ya kumlaumu
  14. T

    Unaridhika na namna ya Mh. Kikwete anavyojibu maswali?

    Nimehudhuria mikutano mingi ya Mh. Kikwete,naweza kusema kuwa amenifanya niwe proud na nchi yangu kwa jinsi anavyoelezea watz mambo ya serikali. Ninaongea na waafrika wengi,wala hawajui kuwa rais wao wako hapa USA, wengine kama wa magharibi wanasema walioalikwa ni watu wanaojulikana na balozi...
  15. T

    Tundu Lissu: Sitaki kuulizwa tena kuhusu kumtukana Mwalimu Nyerere

    Napendekeza kuwe na sheria za kupima damu kwa kushtukizwa ili kujua kama watu wanatumia vilevi wakiwa bungeni. Kwa nchi zilizoendelea, Maana eneo la kazi ukikutwa damu yako ina vilevi,unafukuzwa kazi au kusimamishwa kwenda rehab.
  16. T

    Nalaani Ubalozi Wa Tanzania Marekani, na Iddy Sandaly Kwa Hii Tabia ya Kutugawa Kwa Udini

    DMV(Dc,Maryland,Virginia)=Environmental=Liberatus Mwang`ombe. Huyu kaka anahitaji some serious religious tolerance counseling sababu chuki yake kwa waislamu inatisha. Anatoa ujumbe youtube kufanya kampeni safi halafu anakuja huku na ID tofauti na kueneza chuki za udini. Kijana kuwa na...
  17. T

    Uchaguzi DMV USA: Udini na status quo vyatawala

    Mleta mada,maelezo yako hayana mshiko. Nina rafiki yangu huko DMV tuliachana miaka kadhaa niko UK lakini nikamtafuta nijue kunani? Nimeongea na watu wa dini tofauti wote hawaungi mkono hoja yako. UONGOZI uliopo wanasema ni Rais tu mwislamu,Makamu,katibu,mweka hazina wote wakristo. Hapa...
  18. T

    Terror to the HomeLand: Attack in Arusha carried out by Tanzanians, says Home Affairs Minister

    Ni wakati wa wananchi wote kuamka na kupinga hizi tabia za uharamia. KAMA WASEMAVYO: IF U SEE SOMETHING,SAY SOMETHING. Kazi ya ulinzi ni jukumu la kila mwananchi. Tutoe taarifa tunapoona watu watoka mbali wenye kuamsha hisia za mashaka.
  19. T

    Watanzania wakamatwa kwa Utapeli wa Mabenki Marekani

    Really? Una facts na statements zako?? Usikurupuke,I don't know uko state gani USA,Lakini FYI wabongo wengi tu wana kazi zao nzuri na majumba yao waliopata kihalali maana wana make six figures!! So take back the statement kuwa ni kila mtu,LAHASHA!!!
  20. T

    Duh! Huyu Mbunge wa Tanzania amependeza kweli

    Ulivyo na chuki na Mt. Baba wa Taifa,unamtaja hata pasipo lazima. Chochote alichokutendea,let it go. Kama ni malipo ya akhera,ameshalipwa. Unajichumia dhambi kuwa na chuki na mtu ambaye ni marehemu.
Back
Top Bottom