Search results

  1. ZionGate

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Ukitaka kujua hela inayotoka ni ya kibubu angalia wachezaji wazuri waliopendekezwa kusajiliwa na Simba alafu ikafeli kuwasajili. Hapa kirusi ni MO.
  2. ZionGate

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Hapa ndio ukweli ulipo mchawi mkubwa wa Simba ni MO, tutahangaika na kina Try again na Mangungu lakini ukweli hela ya usajili inayotoka na ya kibubu na kwa kuwa bodi inanguvu mapato yote yanaenda kwa MO na wajanja wenzake hao kina Try again. Huyu jamaa hafai kuwekeza Simba yaani GSM ni zaidi ya...
  3. ZionGate

    Simba inaangamia roho inauma

    Amegoma kutoka.
  4. ZionGate

    Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

    Utakubalije kupigwa na Bodi uliyoichagua ambayo unajua fika watakuharibia uwekezaji wako lakini pia unapata hasara, hakuna anaewekeza ili apate hasara. Yale maneno yake yakutafuta huruma ili aendelee kupiga vizuri. Yanga walijifunza kwetu wakaboresha wametupita sivibaya na sisi tukajifunza...
  5. ZionGate

    Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

    Hapa ndio katiba ya simba ilipofeli jamaa ni mwenyekiti wa 51% hana nguvu upande wa pili
  6. ZionGate

    Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

    Kwa Yanga hii yenye morali, Simba anaenda kupigwa tena labda wahonge.
  7. ZionGate

    Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

    Mfumo wa uwekezaji Simba ulipaswa utengenezwe Mo akiwa nje, ila Mo kaichukua Simba ikiwa hoi alafu akailambisha hela kidogo alafu hapohapo akaweka wazo lake la kuwekeza huku asilimia 99 akiweka mawazo yake akijua fika mwishoni yeye atafaidi asilimia 100 huku club ikifa maskini. Hata sasa kuna...
  8. ZionGate

    Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

    Hawa ni chawa tu, ukweli wanaujua ila hawawezi sema mirija itakata
  9. ZionGate

    Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

    Hawa viongozi hata wakitoka simba ni ileile, shida hapa ni Mo hatoi hela na akitoa ni hela ndogo na hawa viongozi hawawezi sema ukweli kwa sababu mrija utakata. Pale juu kuna watu wanajua ukweli ila hawawezi sema mirija itakata. Hapa wakudeal nae no Mo ndie anaeua timu.
  10. ZionGate

    Ajali za mabasi ni janga la kitaifa, serikali yapeni umuhimu stahiki maisha ya wasafiri

    Yaani hizo basi za watu 50/60 kutokana na ukubwa na nafasi iliyopo mzinga wake hawafi watu wengi, ingekuwa coaster hapo ya watu 30 asingetoka mtu hata mmoja. Mengine naunga mkono
  11. ZionGate

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Aisee ukipata mke anakupenda na kukuheshimu kama mume shukuru Mungu, huyu ni mwimbaji wa dini yanamtoka moyoni mwake hayo maneno alafu anaona yupo sawa hii ni hatari. Dunia ya leo Ndoa nikubet tena huko kwenye dini mashetani ndio wengi.
  12. ZionGate

    Mo & METL out, tuachie Simba yetu

    GSM kaja juzi tu ila kila mwaka Yanga inapiga hatua, ahadi zilizowekwa Simba zimekuwa wimbo wa Taifa kila mwaka, watu wancheza na fursa mwambie aondoke simba uone kama itakosa mwekezaji.
  13. ZionGate

    Mo & METL out, tuachie Simba yetu

    Simba imejaa wastaafu na wanasiasa waliokosa ubunge wanawaza matumbo yao, mimi simba ila hakuna mwenye akili ya mpira simba kumshinda Eng. Hersi.
  14. ZionGate

    Mo & METL out, tuachie Simba yetu

    Yaani comment kama hizi lazima ww ni sehemu ya wapigaji, huwez fananisha management ya Yanga kwa Simba, wachezaji Yanga inaowasajili wako vizuri, wananguvu na morali sio Simba utumbo mtupu
  15. ZionGate

    Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

    Hii science hii hii iliyo na mwochwari kwenye mahosipitali???
  16. ZionGate

    Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

    Dah hili neno mkuda umenikumbusha mbali sana
  17. ZionGate

    Huyu mkushi kauliza swali fikirishi sana

    Kumbe unajibu lako ya nini kulazimisha watu wajibu unavyotaka. Unatafuta wafuasi kwa nguvu?
  18. ZionGate

    Huyu mkushi kauliza swali fikirishi sana

    Ukiona mtu haamini uwepo wa Mungu alafu bado anahangaika na huyo Mungu asiemwamini ujue hata huko alipo hakuamini.
  19. ZionGate

    Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

    Hamuwezi hospitali nyingi zinajiendesha kwa kuuza dawa na wagonjwa wa bima ni wengi sasa utamuuzia nani
Back
Top Bottom